kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Even Zambia currency iko juu kuliko ya ZT lakini wanahemea matakono kama nyie. Tanzania devalues its currency my friendπππ We are doing the oppositeπππ
Infact NIS nimeishikilia mimiππππNa mtaendelea kuijua zaidi.
Kwa kweli mwaijua Kenya,Dar parking fees ni ngapi?ππππyou are still aheadπππmy ribs please. Mnachechemea mnasema mpo physically fit. Parking fees juu, unga juu, mafuta juu. Kwa hivyo sikatai mnaongozaπππ
Zero brain Have Googled or are you just spewing idiocy here? Stick to FACTS not Jubilee hogwashKeep pretending to be an expert economist. Yet we can all see through the lies.
The big question is where you will hide when the next GDP update by the same IMF shows the gap between Kenya and Tanzania at $30.
Where will you hide?
Same thing Tanzania iko na GDP per Capital kubwa kuliko Kenya. Kumanisha wananchi wa TZ wanapesa nyingi kuliko KEπππππππππZambia ata iko na GDP per Capita kubwa kuliko Tanzania.
Kumaanisha wananchi wa Zambia wana pesa kuliko wa Tanzania.
Tanzania is the shame of SADC.
500tshsπππKwa kweli mwaijua Kenya,Dar parking fees ni ngapi?
Hii leo 1US$= 2,290tzshs! [emoji15][emoji15][emoji15] Chisos!!! Sijui kwanini jirani zetu huwa hawataki kujadili lolote kuhusu hii sarafu yao, kazi kuhemea tu KES. Hii hela ya madafu inahitaji maombi ya walokole trela nzima!
Same thing Tanzania iko na GDP per Capital kubwa kuliko Kenya. Kumanisha wananchi wa TZ wanapesa nyingi kuliko KEπππππππππ
Zero brain Have Googled or are you just spewing idiocy here? Stick to FACTS not Jubilee hogwash
Ingependeza zaidi kama mngekuwa mnachanganua masuala kama haya kiueledi na kama watu ambao wana akili zao. Sio hizi kelele za kasuku za kila uchao na utaalamu feki wa kukariri. http://www.thecitizen.co.tz/News/Ta...d--says-IMF/1840340-2894824-oh8m04/index.html Soma hapo ujionee mwenyewe maneno waliyoyasema IMF, miaka michache iliyopita kuhusu Tz mlivyo'overvalue' shilingi yenu kwa asilimia 17, na bado thamani yake ikaendelea kuanguka zaidi.Even Zambia currency iko juu kuliko ya ZT lakini wanahemea matakono kama nyie. Tanzania devalues its currency my friend
are you kidding me?500tshsπππ
Kama hujuwi historia ndio utabaki kujiuliza kwananini shiling ya Tanzania imefika hapo.Hii leo 1US$= 2,290tzshs! [emoji15][emoji15][emoji15] Chisos!!! Sijui kwanini jirani zetu huwa hawataki kujadili lolote kuhusu hii sarafu yao, kazi kuhemea tu KES. Hii hela ya madafu inahitaji maombi ya walokole trela nzima!
They've already realise it was mistake to let that happen and become dependable to emerging countries, now they're all fighting back.Cars are only a luxury commodity in LDCs.
The richest countries on earth are also the biggest importers. Kama unadhani biashara ni export tu, rudi shule.
You can only reduce imports of things that you have started producing.
You can't reduce imports of cars or petroleum, or computers yet you don't produce. You can only reduce if your economy is in decline.
And you believe and think we was $31B in 2010 and we depreciated to $25B in 2017 with all these booming economy signs i see everywhere. Keep on consoling youself.Hakuna shida. Believe what you want. Soon utaamka wewe mwenyewe.
Kenya GDP 2010 - $40 B
Tanzania GDP 2010 - $31 B
Gap - $9 B
Kenya GDP 2017 - $75 B
Tanzania GDP 2017 - $52 B
Gap - $23 B
PanickingYou argue using different numbers and then you come with other numbers.[emoji23][emoji23][emoji4]Hivi kichwa yako iko sawa?? Umesha sema GDP ya TZ haifiki $40B. So what do you want to prove to me at this juncture???[emoji23][emoji23][emoji23]
And less than 40.You screenshot the screen, not the phone.
Go see your total imports and compare with Kenya's here-
OEC - Kenya (KEN) Exports, Imports, and Trade Partners
OEC - Tanzania (TZA) Exports, Imports, and Trade Partners
Our total imports are $15.8 B, yours are $8.7 B. Majority is petroleum, cars and electronics.
Eg. in 2016,
Kenya imported $443 million worth of cars.
Tanzania imported $196 million worth of cars.
Tanzania is an LDC. A walking nation which cannot afford automobiles.
It's a miracle your GDP is more than $20 billion
πππππKenya GDP per capita 2017 - $1,507
Tanzania GDP per capita 2017 - $936
Hamjawahi choka kupika data?
Inaonekana huyu Mluhya Kennedy000 ameunizwa sana na thread,
When you brag that kenya pmports more that Tanzania, unashingwa kuelewa kuwa tatizo ndio liko hapo. When you import more that you export the you'll end up be consumer economy than producer.