Tetesi: Kenya Shilling over valued by 17.5% - IMF says

Tetesi: Kenya Shilling over valued by 17.5% - IMF says

Even Zambia currency iko juu kuliko ya ZT lakini wanahemea matakono kama nyie. Tanzania devalues its currency my friend๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ We are doing the opposite๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Zambia ata iko na GDP per Capita kubwa kuliko Tanzania.
Kumaanisha wananchi wa Zambia wana pesa kuliko wa Tanzania.

Tanzania is the shame of SADC.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚you are still ahead๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚my ribs please. Mnachechemea mnasema mpo physically fit. Parking fees juu, unga juu, mafuta juu. Kwa hivyo sikatai mnaongoza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa kweli mwaijua Kenya,Dar parking fees ni ngapi?
 
Keep pretending to be an expert economist. Yet we can all see through the lies.

The big question is where you will hide when the next GDP update by the same IMF shows the gap between Kenya and Tanzania at $30.
Where will you hide?
Zero brain Have Googled or are you just spewing idiocy here? Stick to FACTS not Jubilee hogwash
 
Zambia ata iko na GDP per Capita kubwa kuliko Tanzania.
Kumaanisha wananchi wa Zambia wana pesa kuliko wa Tanzania.

Tanzania is the shame of SADC.
Same thing Tanzania iko na GDP per Capital kubwa kuliko Kenya. Kumanisha wananchi wa TZ wanapesa nyingi kuliko KE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Hii leo 1US$= 2,290tzshs! [emoji15][emoji15][emoji15] Chisos!!! Sijui kwanini jirani zetu huwa hawataki kujadili lolote kuhusu hii sarafu yao, kazi kuhemea tu KES. Hii hela ya madafu inahitaji maombi ya walokole trela nzima!

Teh teh teh tihiii
lete thread yake tujadili.
but in here we are talking about currency valuation.
Ahaaa haaa haaa
 
Same thing Tanzania iko na GDP per Capital kubwa kuliko Kenya. Kumanisha wananchi wa TZ wanapesa nyingi kuliko KE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Kenya GDP per capita 2017 - $1,507
Tanzania GDP per capita 2017 - $936

Hamjawahi choka kupika data?
 
Even Zambia currency iko juu kuliko ya ZT lakini wanahemea matakono kama nyie. Tanzania devalues its currency my friend
Ingependeza zaidi kama mngekuwa mnachanganua masuala kama haya kiueledi na kama watu ambao wana akili zao. Sio hizi kelele za kasuku za kila uchao na utaalamu feki wa kukariri. http://www.thecitizen.co.tz/News/Ta...d--says-IMF/1840340-2894824-oh8m04/index.html Soma hapo ujionee mwenyewe maneno waliyoyasema IMF, miaka michache iliyopita kuhusu Tz mlivyo'overvalue' shilingi yenu kwa asilimia 17, na bado thamani yake ikaendelea kuanguka zaidi.
 
Inaonekana huyu Mluhya Kennedy000 ameunizwa sana na thread,

When you brag that kenya pmports more that Tanzania, unashingwa kuelewa kuwa tatizo ndio liko hapo. When you import more that you export the you'll end up be consumer economy than producer.
 
Hii leo 1US$= 2,290tzshs! [emoji15][emoji15][emoji15] Chisos!!! Sijui kwanini jirani zetu huwa hawataki kujadili lolote kuhusu hii sarafu yao, kazi kuhemea tu KES. Hii hela ya madafu inahitaji maombi ya walokole trela nzima!
Kama hujuwi historia ndio utabaki kujiuliza kwananini shiling ya Tanzania imefika hapo.
 
Cars are only a luxury commodity in LDCs.

The richest countries on earth are also the biggest importers. Kama unadhani biashara ni export tu, rudi shule.

You can only reduce imports of things that you have started producing.
You can't reduce imports of cars or petroleum, or computers yet you don't produce. You can only reduce if your economy is in decline.
They've already realise it was mistake to let that happen and become dependable to emerging countries, now they're all fighting back.
 
Hakuna shida. Believe what you want. Soon utaamka wewe mwenyewe.

Kenya GDP 2010 - $40 B
Tanzania GDP 2010 - $31 B
Gap - $9 B

Kenya GDP 2017 - $75 B
Tanzania GDP 2017 - $52 B
Gap - $23 B
And you believe and think we was $31B in 2010 and we depreciated to $25B in 2017 with all these booming economy signs i see everywhere. Keep on consoling youself.
 
You argue using different numbers and then you come with other numbers.[emoji23][emoji23][emoji4]Hivi kichwa yako iko sawa?? Umesha sema GDP ya TZ haifiki $40B. So what do you want to prove to me at this juncture???[emoji23][emoji23][emoji23]
Panicking
 
You screenshot the screen, not the phone.

Go see your total imports and compare with Kenya's here-

OEC - Kenya (KEN) Exports, Imports, and Trade Partners
OEC - Tanzania (TZA) Exports, Imports, and Trade Partners

Our total imports are $15.8 B, yours are $8.7 B. Majority is petroleum, cars and electronics.

Eg. in 2016,
Kenya imported $443 million worth of cars.
Tanzania imported $196 million worth of cars.

Tanzania is an LDC. A walking nation which cannot afford automobiles.
It's a miracle your GDP is more than $20 billion
And less than 40.
 
Kenya GDP per capita 2017 - $1,507
Tanzania GDP per capita 2017 - $936

Hamjawahi choka kupika data?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
IMG_20181026_135331.jpg
atlas_BJOKD67VG@2x.png
 
Inaonekana huyu Mluhya Kennedy000 ameunizwa sana na thread,

When you brag that kenya pmports more that Tanzania, unashingwa kuelewa kuwa tatizo ndio liko hapo. When you import more that you export the you'll end up be consumer economy than producer.

Also, the less you import the less your purchasing power. Tumia logic.
If the reason you are not importing cars is because you manufacture them, we can understand. But for you, the reason you are not importing cars is because you cannot afford them. Plain and simple.

And for your info., these major powers are also net importers, just like Kenya.

USA
UK
Canada
France
India
UAE
Netherlands
Spain
Portugal
Ukraine
Denmark

Apart from China, Japan, Germany and a few others you find only the oil producers exporting more than they import.

Countries strive to export more, not import less.
 
Back
Top Bottom