Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
wewe kichwa maji... habari ulioleta ilikua inangelea refined oil ambayo ni imported. pipeline inayojengwa kwenda Tanga ni crude oil... yani heavens and earthPoint ni kwamba Kenya biashara ya kusafirisha mafuta kwa Magari hawataiweza, itawaongezea gharama na kuongea uhalifu/ujambazi kwahiyo ni bora waungane na Tz/Uganda kusafirisha kwenye pipeline lasivyo hata hayo mafuta kidogo waliyonayo yataishia kuwalipa watu mishahara, ulinzi na hasara nyingine. Nafkiri nimekutafunia umeelewa sasa
anyway, eti unasema biashara ya kusafirisha mafuta hatutaiweza... WTF! hivi unajua hata kabla tugundue oil kule turkana Tulikua na refinery plant pale mombasa ambayo tulikua tuna import bulk crude oil na ku refine wenyewe?
Hivi unajua Kenya ina import refined oil zaidi ya Uganda+ Tanzania combined! hebu niambie ni kampuni gani huko Tz zinaweza kushindana na Kampuni ya kikenya kama Kobil...
sometimes people should know their place.