Kenya should just Join Tz & Uganda to transport it's liitle Oil or loose it all

Kenya should just Join Tz & Uganda to transport it's liitle Oil or loose it all

Point ni kwamba Kenya biashara ya kusafirisha mafuta kwa Magari hawataiweza, itawaongezea gharama na kuongea uhalifu/ujambazi kwahiyo ni bora waungane na Tz/Uganda kusafirisha kwenye pipeline lasivyo hata hayo mafuta kidogo waliyonayo yataishia kuwalipa watu mishahara, ulinzi na hasara nyingine. Nafkiri nimekutafunia umeelewa sasa
wewe kichwa maji... habari ulioleta ilikua inangelea refined oil ambayo ni imported. pipeline inayojengwa kwenda Tanga ni crude oil... yani heavens and earth

anyway, eti unasema biashara ya kusafirisha mafuta hatutaiweza... WTF! hivi unajua hata kabla tugundue oil kule turkana Tulikua na refinery plant pale mombasa ambayo tulikua tuna import bulk crude oil na ku refine wenyewe?

Hivi unajua Kenya ina import refined oil zaidi ya Uganda+ Tanzania combined! hebu niambie ni kampuni gani huko Tz zinaweza kushindana na Kampuni ya kikenya kama Kobil...
sometimes people should know their place.
 
Yalianza na nyinyi watz. Wakenya walizuia magari ya kubeba watalii kutoka Tz kuingia viwanja vya ndege Kenya, baada ya Tz kuzuia magari ya kubeba watalii ,ya kikenya, kuvuka boda na kuingia kwenye mbuga za wanyama Tz. Mbona mlinyooka haraka hivyo na mkalegeza? Yaani baada ya huo unafik ulitegemea tuwape shavu la pili?
Mbona sioni magari ya kitalii ya kutokea Kenya mbugani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua Serengeti na Ngorongoro wanaingia hadi ndani na watalii kama double package kwa watalii wanaozuru nchi zote mbili za Kenya na Tz.
Hiyo mbona ipo tangu zamani? Milichokuwa mnataka ni kuingia bure bila kulipia na ku-bypass Arusha via shorter route ya Bolongoja gate. Hamjaruhusiwa hilo.
 
wewe kichwa maji... habari ulioleta ilikua inangelea refined oil ambayo ni imported. pipeline inayojengwa kwenda Tanga ni crude oil... yani heavens and earth

anyway, eti unasema biashara ya kusafirisha mafuta hatutaiweza... WTF! hivi unajua hata kabla tugundue oil kule turkana Tulikua na refinery plant pale mombasa ambayo tulikua tuna import bulk crude oil na ku refine wenyewe?

Hivi unajua Kenya ina import refined oil zaidi ya Uganda+ Tanzania combined! hebu niambie ni kampuni gani huko Tz zinaweza kushindana na Kampuni ya kikenya kama Kobil...
sometimes people should know their place.
S kweli leta evidence! Tanzania is a mining country and her use of oil is unprecedentedly!
 
S kweli leta evidence! Tanzania is a mining country and her use of oil is unprecedentedly!
Seriously, How do you figure a country with a bigger GDP to consume less oil products than a country with a smaller GDP..... Perhaps you should first start by finding out how many vehicles are In Kenya in comparison to Tanzania ...

As of 2014, Kenya was consuming the equivalent of 92k barrels per day while Tz was Consuming 58k Barrels per day... KPC just finished construction of a $0.5B 20 inch refined oil pipilene from Mombasa to Nairobi, and is constructing new storage tank all over the country, hii si ligi yenu, shindaneni na Uganda not Kenya

1535381505331.png

Compare countries | TheGlobalEconomy.com
 
Back
Top Bottom