Kenya: Shule kufunguliwa mwaka 2021

Kenya: Shule kufunguliwa mwaka 2021

Huku tuna kanda moja tu inaitwa Lake zone.
Hamna Cha Kanda moja Wala Nini kule Kuna majiwa zaidi ya tatu katika mikoa tofauti huwezi ukawa unatoka katika hizo mikoa zote,sema tu wewe ni mnyamwezi au muhaya maana siku hizi wanyamwezi pia wameiga akili za wasukuma ndio maana unaweweseka.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Nikimwambia MTz natokea Lake zone(kanda ya ziwa) atanielewa kabisa natokea maeneo gani.Ila wewe nyang'au huwezi nielewa.
Yaani naongelea Kanda ya Ziwa wewe unaleta habari za Kigoma😀😀😅.Huko ni kanda ya magharibi.Usichukulie Lake zone eti ni maeneo yote yenye maziwa.Hell no!
 
Nikimwambia MTz natokea Lake zone(kanda ya ziwa) atanielewa kabisa natokea maeneo gani.Ila wewe nyang'au huwezi nielewa.
Yaani naongelea Kanda ya Ziwa wewe unaleta habari za Kigoma[emoji3][emoji3][emoji28].Huko ni kanda ya magharibi.Usichukulie Lake zone eti ni maeneo yote yenye maziwa.Hell no!
Unaposema lake zone unamaanisha Nini? Maana kigoma pia ipo kwa lake ,ungesema tu wewe ni mmojawapo wa wale wapiga ramli wa chato ungeeleweka mbona kitambo tu .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Unaposema lake zone unamaanisha Nini? Maana kigoma pia ipo kwa lake ,ungesema tu wewe ni mmojawapo wa wale wapiga ramli wa chato ungeeleweka mbona kitambo tu .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Acha ubishi,

Kanda ya ziwa imeundwa na mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara.

Kanda ya kati imeundwa na mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma.
 
Itakuwa si bure labda kubana matumizi tu.
Njaa kali
Kuna watu huwa wanasingizia hata wamefunga au wako kwenye saumu kumbe njururu hazikuwepo tu
 
Shule private zinafunza online so wanaendelea kulipwa.
Sio wote wataweza kuwa online. Nyinyi mmebugi. Watarudia madarasa, mnawapotezea muda watoto na mnawaweka kwenye risk ya early pregnancies. For what.
 
Hakuna cha online, shule ni hadi mwakani. Watakariri madarasa yao upya. Hivyo mwaka huu Kenya ni sifuri kwenye kalenda ya elimu, haupo.
Duh.Na vyuoni hakutakuwa na first year ?Kenya hapo wamechemsha.
 
Wakenya ukiwa unaongea proper english wanahesabu ni elimu kubwa
Kw sababu hyo elimu kenya inatolewa kw kingereza..
Kwhyo hata usishtuke sana unapoakia vitu km hvyo, yani uende ukasomee ufaransa alafu ukirudi utusifie una elimu lkn kifaranaa zero..nani atakuelewa kwwli
 
Acha ubishi,

Kanda ya ziwa imeundwa na mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara.

Kanda ya kati imeundwa na mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma.
Wala sijabisha usije kwa jazba wewe ajuza.

Sasa kigoma itakua vipi moja ya mikoa ya Kati wakati ipo magharibi mwa nchi mpakani kabisa tena inapakana na ziwa au kwenu Kati ya maanisha Nini? Okay for adminstrative purposes unaweza ukasema hivyo lakini unapokua unapeana direction it's wrong to say that, don't you think so? Kwa mfano haimaanishi Kama wewe hutoki mkoa wa pwani huwezi ukaambia mtu wewe ni mpwani maana unatoka Lindi wakati Lindi yenyewe ni pwani.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Acha ubishi,

Kanda ya ziwa imeundwa na mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara.

Kanda ya kati imeundwa na mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma.
Anatumia hio kauli ya lake zone eti ndio kwao atukanganye sisi ambayo sio wa huko ili asitambulike wakati yeye ni mmoja wa wale wapiga ramli wa chato.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna cha online, shule ni hadi mwakani. Watakariri madarasa yao upya. Hivyo mwaka huu Kenya ni sifuri kwenye kalenda ya elimu, haupo.
I
Labda Corona ina undugu nao..imewaambia by jan 2021 itakuwa imeondoka..

What of them!?? Kenyans..
 
Back
Top Bottom