mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kwani saa hii imeizidi nini??au bado uko vichakani.Kenya ifunge shule miaka 10 bado elimu yake itazidi ya TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani saa hii imeizidi nini??au bado uko vichakani.Kenya ifunge shule miaka 10 bado elimu yake itazidi ya TZ.
Hamna Cha Kanda moja Wala Nini kule Kuna majiwa zaidi ya tatu katika mikoa tofauti huwezi ukawa unatoka katika hizo mikoa zote,sema tu wewe ni mnyamwezi au muhaya maana siku hizi wanyamwezi pia wameiga akili za wasukuma ndio maana unaweweseka.Huku tuna kanda moja tu inaitwa Lake zone.
Na Kama unatoka pale kigoma mjini usikose kumchagua zitto kabwe,na Kama wewe ni mnyamwezi wa tabora pia sema tu.Huku tuna kanda moja tu inaitwa Lake zone.
Nikimwambia MTz natokea Lake zone(kanda ya ziwa) atanielewa kabisa natokea maeneo gani.Ila wewe nyang'au huwezi nielewa.Hamna Cha Kanda moja Wala Nini kule Kuna majiwa zaidi ya tatu katika mikoa tofauti huwezi ukawa unatoka katika hizo mikoa zote,sema tu wewe ni mnyamwezi au muhaya maana siku hizi wanyamwezi pia wameiga akili za wasukuma ndio maana unaweweseka.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Unaposema lake zone unamaanisha Nini? Maana kigoma pia ipo kwa lake ,ungesema tu wewe ni mmojawapo wa wale wapiga ramli wa chato ungeeleweka mbona kitambo tu .Nikimwambia MTz natokea Lake zone(kanda ya ziwa) atanielewa kabisa natokea maeneo gani.Ila wewe nyang'au huwezi nielewa.
Yaani naongelea Kanda ya Ziwa wewe unaleta habari za Kigoma[emoji3][emoji3][emoji28].Huko ni kanda ya magharibi.Usichukulie Lake zone eti ni maeneo yote yenye maziwa.Hell no!
Wewe nyang'au unabishana na MTz kuhusu Tz! Nakushangaa hadi sasa!Unaposema lake zone unamaanisha Nini? Maana kigoma pia ipo kwa lake ,ungesema tu wewe ni mmojawapo wa wale wapiga ramli wa chato ungeeleweka mbona kitambo tu .
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Duh wanasoma online ama ?
Acha ubishi,Unaposema lake zone unamaanisha Nini? Maana kigoma pia ipo kwa lake ,ungesema tu wewe ni mmojawapo wa wale wapiga ramli wa chato ungeeleweka mbona kitambo tu .
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Sio wote wataweza kuwa online. Nyinyi mmebugi. Watarudia madarasa, mnawapotezea muda watoto na mnawaweka kwenye risk ya early pregnancies. For what.Shule private zinafunza online so wanaendelea kulipwa.
Duh.Na vyuoni hakutakuwa na first year ?Kenya hapo wamechemsha.Hakuna cha online, shule ni hadi mwakani. Watakariri madarasa yao upya. Hivyo mwaka huu Kenya ni sifuri kwenye kalenda ya elimu, haupo.
Kw sababu hyo elimu kenya inatolewa kw kingereza..Wakenya ukiwa unaongea proper english wanahesabu ni elimu kubwa
Kwa kuzungumza English...tehtehtehtehKwa kigezo gani Elimu ya Kenya inaizidi ya tz?
Wala sijabisha usije kwa jazba wewe ajuza.Acha ubishi,
Kanda ya ziwa imeundwa na mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara.
Kanda ya kati imeundwa na mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma.
Anatumia hio kauli ya lake zone eti ndio kwao atukanganye sisi ambayo sio wa huko ili asitambulike wakati yeye ni mmoja wa wale wapiga ramli wa chato.Acha ubishi,
Kanda ya ziwa imeundwa na mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara.
Kanda ya kati imeundwa na mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma.
IHakuna cha online, shule ni hadi mwakani. Watakariri madarasa yao upya. Hivyo mwaka huu Kenya ni sifuri kwenye kalenda ya elimu, haupo.