Kenya sink Eritrea, set up Tanzania showdown in CECAFA U20 finals

Ona sasa, score line maana yake ni nini, kwenye michuano ya kuchujana? Wao wenyewe wametaja wazi, edged out in the other 'last four clash', ambayo ni quaters. Score line za game ambazo zimeisha na matokeo ya 1-0 na 2-1 ni zipi? Si ni 1-0 na 1-0? Aisee, MK254 hufanyi haki na hii lugha ambayo imetumiwa kwenye taarifa yako.

Tutawatafsiria hadi lini, siku hizi huwa nawaacha wahamaki hadi walipuke, hamna haja nipoteze muda kumsaidia mtu ambaye hataki usaidizi atkuchelewesha.
 
Ona sasa, score line maana yake ni nini, kwenye michuano ya kuchujana? Wao wenyewe wametaja wazi, edged out in the other 'last four clash', ambayo ni quaters. Score line za game ambazo zimeisha na matokeo ya 1-0 na 2-1 ni zipi? Si ni 1-0 na 1-0? Aisee, MK254 hufanyi haki na hii lugha ambayo imetumiwa kwenye taarifa yako.
Hujui unachozungumza wewe, Tanzania imeifunga Sudan 2- 1 sio sawa na Kenya iliyoifunga Eritria 1- 0 . these are not "Similar score line".
 
Aisee, score line kwenye game yenu na Sudan sio 2-1(scores), score line kwenye hiyo game ni 2-1=1, yaani 1-0 kwa Tz. Umeelewa maana ya score line?
 
Sikujua kwamba hii lugha inaweza ikakutatiza kiasi hicho. Mtu akisema .....'Tz, who edged out Sudan with a SIMILAR SCORELINE'... Wakati hapo awali alikuwa anaongea kuhusu ushindi wa 1-0, wa timu nyingine. Si hapo 'automatically' inamaanisha kwamba Tz waliwachapa Sudan 1-0 pia? Mna mazoea mabaya sana ya kulialia kwamba mnadhulumiwa kwenye kila jambo.
Score line maana yake ni number of goals scored, siyo difference kama unavyo taka kujidanganya. Mfano "Gor 3- 3 Simba" unaulizwa score line unajibu zero zero! Wewe ndiyo hujui, Kizungu hakijawahi nipiga chenga msee, toka nikiwa primo.
 
Hahaa! 😀 Umechemsha jombaa, alafu eti kiingereza 'primo'? Si nilidhani huwa mnaanza kusoma kiingereza 'seco'?
 
😃😃😃😃😃
 
Umekalili.. namshukuru mungu mzee wangu alipambana nikapitia mfumo tofauti na uliosoma wewe uliokufanya usijue nini maana ya score line [emoji38]
 
Sawa, shukuru mungu kwamba walikufikisha pale Tala Boys High School, Machakos.
 
Hahahaa.. Tala Boys wanafundisha KCSE mimi sijasoma mfumo uliopitia wewe. Msee mbona uko slow
Mfumo haujalishi, ukimaliza kushukuru wazazi usiishie hapo. Kuwa mtu mstaarabu na ushukuru wakenya kwa kukuelimisha.
 
Kama kushukuru itabidi nishukuru wengi Ug, Naija, Congo, Tz, India e.t.c hizo ni nchi zilizotoa waalimu walio nifundisha. Mpaka wakenya wa JF ninawashukuru kwa kunifundisha ujinga [emoji38]
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Kujichocha nayo! Naona wakenya walikufundisha 'urui' pia, bure ungekua muoga muoga kama wanaume wenzako wa Dar. [emoji23]
 
Hahahaa.. msee wewe si mtu poa umempeleka Nal.......a Olkeju ado nakumpa mang'ombe yako aku angalizie mpaka ameisahau JF [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jesu! [emoji15] Hapo hujanishow poa mzeiya. She will be back though, very soon.
 
Back
Top Bottom