MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Ona sasa, score line maana yake ni nini, kwenye michuano ya kuchujana? Wao wenyewe wametaja wazi, edged out in the other 'last four clash', ambayo ni quaters. Score line za game ambazo zimeisha na matokeo ya 1-0 na 2-1 ni zipi? Si ni 1-0 na 1-0? Aisee, MK254 hufanyi haki na hii lugha ambayo imetumiwa kwenye taarifa yako.
Tutawatafsiria hadi lini, siku hizi huwa nawaacha wahamaki hadi walipuke, hamna haja nipoteze muda kumsaidia mtu ambaye hataki usaidizi atkuchelewesha.