Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

Badass.... Jamaa mpaka napata uwoga kwa walivyo, hongera sana wamefaulu pakubwa sana muda hatujaskia visa vya kigaidi, muhimu sana tuwe tunajua kuna hawa washakaji hukesha maporini ili tulale salama, mad respect.
Naona bado uko around Jamii mad respect
 
For those wondering! Hawa si KDF hawa ni SOF ( special operation force ) na BPU( border patrol unit) ya polisi. Lakini mafunzo yao na special unit za kdf ni sawa. Yani hawa ni polisi wanaoweza kupigana na jeshI yoyote kwa dunia.

They are well trained in infiltration, recon, urban warfare, close quarter combat, hostage rescue etc. Hawa na delta force ya marekani hawana tofauti.
 
Badass.... Jamaa mpaka napata uwoga kwa walivyo, hongera sana wamefaulu pakubwa sana muda hatujaskia visa vya kigaidi, muhimu sana tuwe tunajua kuna hawa washakaji hukesha maporini ili tulale salama, mad respect.
Muwanunulie humvee....
Sio kutumia hizo pickup, mnatia aibu.
 
Wakenya ni mazwazwa sana..umeshawahi kuiona picha ya askari wa JWTZ wakiwa kwenye misheni zao...au ata hapo Mtwara tu?
Kwahivyo jeshi la Tz linatumia upelelezi kulinda mpaka sio 🤣 kwahivyo Mimi nikiamua Kuingia Tz na kichakani itabidi mue mlikua mko na number yangu ya simu ya Kenya munitrack mazungumzo yangu na wenzangu hadi mjue nilikua napanga kuvuka mpaka ...
 
Alafu Hawa si KDF, hawa ni Special forces wa Administration Police
 
Wakenya ni mazwazwa sana..umeshawahi kuiona picha ya askari wa JWTZ wakiwa kwenye misheni zao...au ata hapo Mtwara tu?

Hawa hapa DRC, unalipi tena? Ladba useme ni nyinyi Watanzania ndo hua mmewekwa kwa giza na maCCM ili msiulize maswali mengi

image770x420cropped.jpg

163c4e5c-a558-4437-be51-cd34704bd26c
 
Jamaa wanatumia landcruiser mkonge Kama ISIS tu au boko Haram au Al shabab

Acha ufala us army wanatumia Jeep

Haujui unachosema...

Special forces hua wanapewa chochote watakacho manake hua ni kikosi cha wanajeshi wachache, Wangetaka APC kubwa kubwa wangepewa, Ukiwaona wako kwa landcruiser ujue wao wenyewe ndo waliangalia mission wakaona hio ndo inafaa manake iko more practicle kushinda gari la APC ambalo halina mbio, ni zito haliwezi kuingia kichakani alafu likiharibika haliskumiki, na pia ni vigumu kupiga nalo ambush 'guerilla-warfare style'..... Kumbuka Special Forces wamefundishwa kutumia tactics ambazo majeshi ya kawaida hawawezi, Special Forces wanaweza kufamnya ambush kama vile magaidi hufanya.

Hata yale mabunduki walioshikilia kwa hizo picha, hio si standard issue kwa majeshi ya Kenya, wameshikilia AK-12, hakuna kikosi chochote kingine Kenya kina hizo bunduki kumaanisha hizo bunduki ni special order iliofanywa ili kuhami hichi kikosi baada ya hao wanajeshi wenyewe kufanya request kwamba wanataka bunduki hizo.

Alafu hawa hapa US special forces wakitumia pickup za kawaida kupigana na magaidi..

US SF technicals in Syria and Afganistan

000_G79MW.jpg


99tgrlswlzc41.jpg


5lmhb6a0g5241.jpg



a72bfb3dfd80466ab4d7c3daa4ab6193.jpg


57670aff9ab274d28bd2feb009ff4a9a.jpg
 
Muwanunulie humvee....
Sio kutumia hizo pickup, mnatia aibu.
National police service ( NPS)operates a fleet of 25MRAPS and 30 Apcs while the whole of Tpdf has 100 Armoured vehicles.Infact Nps airwing has more choppers than the entire TPDF.
 
Back
Top Bottom