MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kwa kajamba asiyejua maana ya East and Central Africa, hii ramani nahisi itamfaidi, ni aibu sana kwa mijitu kama DRC, Tanzania na Ethiopia kutolewa kamasi na kainchi kadogo kama Kenya, kainchi ambako hakana madini na zaidi ya nusu yake ni kame tupu, halafu wao madini na ardhi kubwa yenye rotuba kote, yaani kweli hauwezi ukabarikiwa na vyote, unapewa raslimali unanyimwa ubongo au ukose raslimali ila uwe na akili.