Kenya: Takribani TSh. Bilioni 30 zaibwa Benki ya EQUITY. Mkurugenzi afukuzwa

Kama wameiba Equity hawawezi shindwa kuiba NMB /CRDB
 
Sasa hapo sijajua wataalamu hii ngoma inaishia tu kumfukuza kazi MD tu au kuna hatua nyingine za kisheria zinafuata pamoja na kuwashitaki jopo lote mana mpunga mkubwa sana umepigwa
 
Sasa hapo sijajua wataalamu hii ngoma inaishia tu kumfukuza kazi MD tu au kuna hatua nyingine za kisheria zinafuata pamoja na kuwashitaki jopo lote mana mpunga mkubwa sana umepigwa
Na kesi kama hizi unakuta wanakamatwa wa chini MD anachomoka
 
Sasa hapo sijajua wataalamu hii ngoma inaishia tu kumfukuza kazi MD tu au kuna hatua nyingine za kisheria zinafuata pamoja na kuwashitaki jopo lote mana mpunga mkubwa sana umepigwa
Uzuri pesa za benki ziko insured against burglary au Cyber, wanalipia insurance pesa nyingi so, hapo ni wakati wa insurer kuingia mfukoni
 
Watanzania wakiamua kulalamika pesa zinavyopotea CRDB, benki inaweza kukosa wateja.

Tatizo kila mtu anaugulia kivyake, tumezoea maisha ya hewala hewala.
 
Tanzania wanaiba Kodi za Wananchi hawangaiki na hizo za Bank ikija taarifa ya CAG wanachukulia kawaida tu..
 
Uzuri pesa za benki ziko insured against burglary au Cyber, wanalipia insurance pesa nyingi so, hapo ni wakati wa insurer kuingia mfukoni
Insurance ni rahisi kulipa watu wakipigwa pesa ndogo ndogo mtu mmoja mmoja.

Pesa ndefu kupigwa kama hivi inaonekana kabisa kuwa inawezekana kuwa inside job hata insurance inaweza kugoma kulipa.

Kwa nini insurance ilipe ikiwa kuna watu wa ndani wameiba?
 
Wanalia kimyakimya??
Wabongo wanalia kimyakimya sana. Utawasikia wanalia maumivu pembeni, ukiwaambia wafungue kesi au kulalamika hadharani wanagoma.

Wangekuwa wanalia hadharani tu, CRDB ingekosa wateja kwa crisis of confidence.

Hapa nipo na mtu kapigwa zaidi ya milioni 280 kijinga tu, huu mwaka wa pili inaenda anapigwa danadana tu.

Alikuwa anataka kusamehe mpaka namuhimiza afungue kesi.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa hapo sijajua wataalamu hii ngoma inaishia tu kumfukuza kazi MD tu au kuna hatua nyingine za kisheria zinafuata pamoja na kuwashitaki jopo lote mana mpunga mkubwa sana umepigwa
Watakosa ushahidi kamili.
Hapo wanawafukuza tu ili wasirudie kuibiwa tena siku zijazo wataajiri watu wapya ambao wanaamini watakuwa waaminifu
 
Hapa ukipata wakili mzuri unapata mtaji. Asamehe 280M duh watu wana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…