jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Hiyo ndiyo inaitwa Well organised crime!!IT peke yake sio rahisi hivyo kuchukua pesa kwenye mfumo imara kama benk, ni kwamba ni connection ya vitengo vingi vimehusika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndiyo inaitwa Well organised crime!!IT peke yake sio rahisi hivyo kuchukua pesa kwenye mfumo imara kama benk, ni kwamba ni connection ya vitengo vingi vimehusika.
Timu ilitimia
Tafadhali fafanua.Ikumbukwe Equity Kenya ni benki ya pili kwa ukubwa baada ya KCB, nchini Tanzania Equity ni zaidi ya CRDB au NMB
Shida ni wameacha alama rahisi kukamatwa,Hiyo ndiyo inaitwa Well organised crime!!
Tafadhali fafanua.
Hapo kwenye plan yao walishindwa ku clear evidence. MakosaaaaBaba na mtoto wake wamekamatwa. Wote wafanyakazi wa hiyo benki. Mtoto ni meneja ana miaka 39
![]()
Equity Bank heist suspect fails to attend court session - People Daily
Equity Bank heist suspect fails to attend court session %peopledaily.digital
hapa Yesu kaingiaje ?HATA YESU KRISTO ANATUFUNDISHA WIZI SI KITU CHEMA KWA AIBAE NA ANAE IBIWA
Kwamba ndiye kasuka Dili au
Kwa Tanzania ulishawahi kukutana na wahudumu wa Equity na kugundua walivyo visirani?🤣🤣Equity Bank ndio bank kubwa kuliko zote africa mashariki. Kwa kila kitu kuanzia Assets, profits mpaka idadii ya wateja equity anaongoza.
Nmb ni namba 7 na crdb ni namba 8 kwenye ranking ya bank kubwa africa mashariki
View attachment 3073367
Mzee baba kama ni ishu iko planned sio rahisi , kwanza mpaka waje kugundua mzigo ushatolewa ushaingizwa kweny blockchain ndio basi .Kuna namna ya ku track hiyo pesa, zilienda kwa account za wakina nani hao wafanyakazi?