and here they claim to have no issues with Uganda while the whole World knows they pay customs wherever they sneak in their noses in Migingo! How embarrassing is that?
Kama mna uhakika kuwa tukifunga mipaka hamtaumia kwanini mnalialia tunapowapandishia ushuru?
Labda kabla ya kuandika (neno baya, ban) ungejiuliza kama intergration and competition are antagonistic or not?Tuache fitina. Hata sisi tunalialia kwa Kenya kutaka kujenga kiwanja kipya cha ndege Taveta. Hatutaki wajenge hicho kiwanja eti kitadhuru KIA. We are very afraid of Kenyans. Badala ya ku-maintain KIA ili tuweze ku-compete na Wakenya sie tunalalama na kupandisha kodi at the border.
We should address core issue ili kuwa more competitive. Protectionist polices won't get us anywhere. I can't just imagine kwenye EAC tume-exclude property and free movement of people wakati ardhi hiyo hiyo na madini yake chini tunawapa wazungu. We have full of foreigners exploiting our resources. Mbona hatuwangolei hao? Kama sio hypocrisy ni nini?
Inajulikana ni kwa nini Tanzania imepandisha kodi mpakani. Watanzania wamechoka na ukiritimba ulioko kwenye bandari ya Dar na wameamua kutumia bandari ya Mombasa. It is more cheaper kutumia bandari ya Mombosa than Dar. Watanzania wamechoka na ukiritimba wa ulioko kwenye viwanja vyetu vya ndege, wameamua kutumia Nairobi airport. Mpaka sasa sielewi why it is so expensive kushuka KIA than Nairobi Airport au hata Dar from same departure. Hai-make sense kabisa.
I can't wait for the Taveta airport. If we can't compete with them, we better shut down KIA. We aren't even benefiting from that airport anyway. It is unnecessarily too expensive and pesa zenyewe hazijulikani hata zinakwenda wapi. Kupandiswa kwa kodi mpakani ni woga tuu and a protection mechanisms ambayo hata sioni manufaa yake. Wenzetu wanaangalia mbali sie tumebaki kuhangaika na vikodi vya mipakani.
SADC is the most peaceful vibrant and resourceful economic block compared to any other economic block in Africa! be it COMESA or EAC! Get ur facts right and they r fast growing economical! Here u r showing ur ignorance againHapa unasema kuwa watu kama waganga na waliofeli mitihani ndio hupenya mipaka ya kenya. Ni hii dhana kuhusu watu wenu infanya mufeli katika majukumu yenu. Umenidhihirishia tatizo moja yenu. Hawa waliofeli mitihani wanaeza kutumika katika sekta za ujenzi na biashara. Lakini wakija mahali kama USIU inamaanisha wamepata kitu walishindwa kupata hapo. Pili, mumesalia SADCC kwa maana rahisi kwamba nchi za Afrika kusini zinangangana kujikwamua kutoka kwa mifumo duni za uongozi pamoja na kuwa chini kibiashara, vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hivyo mnataka maisha rahisi, hampendi competition hapo ndipo ukweli ipo.
Labda kabla ya kuandika (neno baya, ban) ungejiuliza kama intergration and competition are antagonistic or not?
Kwanini iwe bei rahisi kutumia bandari ya Mombasa? Ilhali operation costs za Mombasa ni kubwa kuliko za Dar?.... hata Jomo Kenyatta operation costs zake ni kubwa kuliko Dar, hata tukiamua kupunguza operation costs zetu, bado profitability inakuwa hugely affected, inakkuwa kazi ku-control security na movement of illegal goods through our ports..
Mkuu, ijue serikali unayoiongelea, what they do is sabotage nearby econmies by violating many, many international laws. They are brothers to South Sudan, but they are one of Bashir's major trading partners, ask about their beef with Kabila, Museveni (that now they claim to be their friend ,but he just sign a pact with tz to use Tanga port).Ask why Botswana is regretting entering a manpower contract with these fools.... ask urself before yapping!!
You are so used to being against your government to a point that you make most of us here wanna puke!!.. shame on you shallow man! go back and hit the books/journals.
oh yeah!.. on that note I would still loove to say " Blank Kenya!"
Dar es Salaam on some instances is reclaiming back business due to somehow liberazation in the port. This happened, when governement came to its senses and allowed competition, by having Tanzania Ports Authority to handle containers as well. Vessels handled at port of Dar has increased with around 5/6 berths dedicated to container handling.
Another detriment at port of Mombasa , is waiting time for a vessel to be allocated a berth, waiting time at Mombasa is quite high and some vessel opting to call Dar es Salaam first and latter go to Mombasa, this shows confidence on part of shipping lines on performance of port of Dar es salaam.
However, this good windfall to our port, may only be temporary due to fact that other infrastructure facilities do not match with increased business. Clearance of cargo at Dar port, documentation wise is still chaotic, with a lot of down time at TRA/ Long room.
There is also serious bottleneck to clear the cargo out of port gates, port seems congested with no space to store cargo. Though, private ICDs are allowed to handle containers, but costs of moving containers to ICD is an extra costs, which has become a headache to importers.
Congestion problems is forcing shipping lines to consider introducing vessel delay surcharges, a move bitterly contested by importers and SUMATRA. But one way or another, shipping lines will collect this charges through any means without importers or SUMATRA being aware, for instance collecting it at port of loading,where SUMATRA have no jurisdiction.
Do not see a scenario, exporters from Tanzania to prefer using Mombasa port, due to logistical , documentation consideration. Local exporters, which are mainly agri commodities, are seriously hampered to use a third port services because of commercial reasons. On importers, this is possible, especially for Tanzania business in regions of Mwanza, Kagera, Shinyanga, at current transportation network is more easier and cheaper to move cargo from Mombasa port than Dar es salaam.
All above said, Dar port should not rest on its laurels thinking, Mombasa will sit back and continue to let Dar take business from them, surely an improvement at Mombasa will change course of business, let us be aware.
we just closed the border! lets see how that goes...men with guts do only actions!
kwa ukoo wenu pengine munadamu ya kutopenda watu, lakini are those the sentiments of all people in your land or its your own thoughts?? you can trade with the rest of the world, but not us, kwani your nationalistic approach to things is admirable. Amkeni ndugu zetu, tufanye sote bidii!!!
I went to school with some Kenyans abroad! arogant Kenyans! Mhh, what a pity! kwanza wenyewe hawapendani kabisa wenyewe kwanza, sasa they thought sisi TZ hatujasoma vizuri, when I started teaching them sasa ndiyo walijua kumbe hizi siyo zama za kukimbia na ndege zetu, na msifikiri tumesahau, just forget about EA Federation, nyie piganeni huko mwende the Hague, sisi tuacheni, pili pili hujaila inakuwashia nini? sisi peace bwana, wewe lipa 400 USDs kuja TZ kama hutaki nenda kwingine! simple! mkisema tusije Nairobi we go to Jburgh! sasa nini tena hapo kaka! kwanza fundishaneni amani then come bak to us!
Wakuu wa JF,
naomba tunapochangia hii mada tupunguze matusi tafadhali maana mada itapinda kirahisi.
Hii ni mada ya nguvu na naamini tunaeza tukachangia hoja tofauti tofauti bila kutumia
matusi kutoka pande zote mbili.
Kwa niaba ya Jamiiforums I would like to state categorically that we do not encourage,
neither do we propagate a policy of hate amongst our members.Notice that the thread
has been heavily edited to remove offensive and distasteful remarks by different members.
Lets keep the debate civil and have a great day.
Ab-Titchaz
on behalf of JF Administrative Crew.
Labda kabla ya kuandika (neno baya, ban) ungejiuliza kama intergration and competition are antagonistic or not?
Kwanini iwe bei rahisi kutumia bandari ya Mombasa? Ilhali operation costs za Mombasa ni kubwa kuliko za Dar?.... hata Jomo Kenyatta operation costs zake ni kubwa kuliko Dar, hata tukiamua kupunguza operation costs zetu, bado profitability inakuwa hugely affected, inakkuwa kazi ku-control security na movement of illegal goods through our ports..
Mkuu, ijue serikali unayoiongelea, what they do is sabotage nearby econmies by violating many, many international laws. They are brothers to South Sudan, but they are one of Bashir's major trading partners, ask about their beef with Kabila, Museveni (that now they claim to be their friend ,but he just sign a pact with tz to use Tanga port).Ask why Botswana is regretting entering a manpower contract with these fools.... ask urself before yapping!!
You are so used to being against your government to a point that you make most of us here wanna puke!!.. shame on you shallow man! go back and hit the books/journals.
oh yeah!.. on that note I would still loove to say " Blank Kenya!"
Go and revise the agreement; We signed the common market protocol under conditions, we said property ownership and free movement should be kept aside i.e every member agreed with us, and that is why we even rejected the use of identity cards instead of passports. Now who is backpedalling implementation? We said in the agreement we are not ready to allow 100% free movement of people and goods, we are again insisting over and over again please you just leave us alone we know what we are doing, we are using our own principles in running our country and not the kenyan principles. If you think we are backpedalling on implementation, then you just terminate our membership.
Nianze kwa kusema samahani kama hilo neno UMECHANGANYIKIWA limekukwaza, binafsi sikulitoa kama tusi ila tu wakati fulani neno hugeuka tusi kulingana na jinsi mpokeaji anavyopata tafsiri.Umeandika vizuri ila kwanini kuanza na lugha za OVYO kama jitu lisiloelewa kitu? Kwani usingeliandika neno UMECHANGANYIKIWA unafikiri nisingelikuelewa? Nikikungalia kwenye picha naona mtu mstaarabu hadi nashangaa mtu kama wewe kutumia lugha ya ajabu. Anyway, ngoja nichukulie kuwa umeteleza.
Ni mtu anayeangalia miaka mitano tu mbele yake ndiyo anakuwa na mawazo kama hayo. Na ili kukuonyesha, ntakuja ni mifano mitatu na hapo utaelewa mie nina maana gani katika hilo:
1. Baada ya vita ya pili ya dunia, USA ilikuwa na hali nzuri sana kiuchumi na nchi nyingi za Ulaya zilikuwa zimechoka hadi zinatia huruma. Ndipo sasa USA akaanza kuzikopesha pesa nyingi sana nchi hizi ili zijijenge kiuchumi huku akijua kuwa kuna siku watasimama na kuja kuanza kumlipa. Ndiyo maana na ubabe wote wa nchi za Ulaya, utashangaa kuwa wanamsikiliza sana USA hadi leo. Kama USA wangelikuwa wanaangalia mita kadhaa mbele, wangelisema kwa nini kuwasaidia nchi zilizoharibika kiuchumi kama za Ulaya? Ni kupoteza muda na pesa.
2. Nchi kama German ndani ya Europenian Union, ni kubwa sana kiuchumi lakini ndiyo wamekuwa waasisi wa kuleta Europen Union na kuipanua. Nani angelitegemea kuwa German itataka kuungana na nchi kama Czech, Slovakia, Poland, Romania, Bulgaria etc wakati kiuchumi, mji wa Frankfurt pekee ambao ndiyo miji tajiri kuliko zote Ulaya, unazizidi kuchumi nchi hizo. Ila wenzetu wanaangalia zaidi ya mita tano.
3. Kenya miaka ya 70 na hasa baada ya Tanzania kupigana na Nduli Amin, walikuwa juu kiuchumi. Ila kwa kuwasikiliza watu kama Chalres Njonjo (Naweza kumfahanisha na wewe) kuwa Tanzania na Uganda ni nchi masikini na hakuna haja ya kushirikina nao, wakaivunjilia mbali East Africa Community. Miaka hiyo, hakuna aliyetegemea kuwa Tanzania itakuja kuwa sehemu hapa ilipo. Sasa hivi Wakenya wanaota kuja Tanzania na wakifika, wanakuwa kama sisi enzi ilee tukifika Nairobi.
Tanzania kama RAIA ni kweli tunafaidika na SADC ila kama nchi, huko tunakuwa Samaki mdogo kwenye bwawa kubwa. Hivi sisi tunauza nini nchini South Africa? Au ni SA ndiyo wanakuja kutumwagia bidhaa zao zilizoisha muda wake ili tufe kwa kansa?
Kama Tanzania tunakwenda juu, basi tupande hadi tuwe namba moja kwenye EAC na hapo sasa, tuipanue zaidi EAC na sisi tuanze kuwa Dictate hao mataifa mengine maana tumeshakuwa Wakubwa. Watanzania wapewe mikopo kama China na kufungua biashara zao kubwakubwa huko Kenya, Uganda nk na faida inarudishwa Tanzania.
Wasiwasi wangu ni kuwa, kesho Kenya inaweza kupanda tena kwa sababu tu wamevumbua mafuta na tukajikuta tumejiharibia wenyewe kama ambavyo wao walijiharibia enzi hizo.
Watalawala na wasomi hasa Wachumi na Wanasheria, wakae na kujadili Mabaya na Mazuri kwa kila upande na baada ya hapo, tuangalie tutabalance vipi ili wote tufaidike.
Ila pana wakati inakuwa kichekesho kwa Watanzania. Tunajifanya tunajua sana kubana miguu kwa Wakenya ila wakija WAZUNGU, Yes Wazungu kutoka Canada, USA nk basi tunawapa madini yetu kwa bei Chee. Wakija Makaburu, tunawakaribisha hadi CHUMBANI na kuwaonyesha hadi Chupi zetu. Ila leo watu tunasema Wakenya NO sijui kwa sababu ni WEUSI sana na Kingozi cheupe tunakuwa tumerogwa kama Wanyamwezi/wasukuma na kingozi cheupe kwani tutalipa ming'ombe yotee kisa tu kangozi keupe.
Ndiyo maana nasema, ni maswala yanayoongeleka. Tukae mezani tuyajadili bila matusi wala dharau kwa mwengine. Hii kuwaona Wakenya wapo chini, kesho unaweza kusikia ndiyo wapo juu na wewe umeshuka na SADC hutakiwi kama ambavyo tunasikia SA Watanzania wanauwawa pamoja na Wageni wengine.
Tuwe na plan za miaka 100 mbele na si miaka 10 mbele.
Sorry Mzalendo nioneshe ni wapi paliposema tunatakiwa kupunguza ushuru au hatutakiwi kuongeza ushuru. Kwenye post yako naona agreement inahusu kurahisisha upatikanaji wa permits/licenses na kuepuka ucheleweshaji wa kusafirisha mizigo usio kuwa wa lazima. Kwani kupandisha ushuru kunachelewesha usafirishaji wa mizigo? ukilipa unaruhusiwa haraka kupita.(7) Tripartite Agreement on Road Transport between the Government of the
Republic of Kenya, the Government of Uganda and the Government of the
United Republic of Tanzania (Arusha, 2001)
The Tripartite Agreement is to be implemented according to the East African Community
Development Strategy 20062010. Article II provides that the objectives of the agreement are to
(a) promote, regulate, and facilitate traffic flow through transit routes by handling regional trade
through the partner states territories with a view to achieving a fair distribution of road
transport services; and (b) minimize the incidence of customs fraud and avoidance by taking all
the necessary measures to ensure expeditious and secure movement of traffic, avoidance of
unnecessary delays in the movement of goods, and the simplification and harmonization of
relevant documentation and procedures. Rather than adopting a free market approach, Article IV
limits market access based on permits/licenses to be issued to carriers. Article V limits operation
of the agreement to designated ports of entry and routes authorized for international operations.
Sorry Mzalendo nioneshe ni wapi paliposema tunatakiwa kupunguza ushuru au hatutakiwi kuongeza ushuru. Kwenye post yako naona agreement inahusu kurahisisha upatikanaji wa permits/licenses na kuepuka ucheleweshaji wa kusafirisha mizigo usio kuwa wa lazima. Kwani kupandisha ushuru kunachelewesha usafirishaji wa mizigo? ukilipa unaruhusiwa haraka kupita.
Sorry Mzalendo nioneshe ni wapi paliposema tunatakiwa kupunguza ushuru au hatutakiwi kuongeza ushuru. Kwenye post yako naona agreement inahusu kurahisisha upatikanaji wa permits/licenses na kuepuka ucheleweshaji wa kusafirisha mizigo usio kuwa wa lazima. Kwani kupandisha ushuru kunachelewesha usafirishaji wa mizigo? ukilipa unaruhusiwa haraka kupita.
Bw Kibona hulka ya hawa jamaa ni ku-incite hate na kukuhakikishia tu lazma mwaka huu watapigana tena kwenye Uchaguzi maana wakiwa ndani ya nchi yao ethnicity is the rule of the order wakitoka beyond the borders wanakuwa nationalists! We angalia jinsi media yao ilivyo biased! what they r trying to portray is Tanzanian market is non function-able and segregating ati our Market prefer SA goods than Kenyan but ask them which brands was Deacons selling? 80% where South Africans brand! to be fair enough these dude are jokes of the day they should come up with a more convincing story why their deacon failed otherwise i should start doubting the knowledge Kenyan marketers have on playing on a new field that is full of competition!