Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Kazi yako wewe ni kuspam International forum yote na malalamiko yako ya kitoto, kwani kuna haja gani ya kurudi rudia thread zenye ujumbe ule ule??? levies, levies, levies kila baada ya dakika tano....:hat:Nilikwambia afadhali usijishughulishe kujibu, sina wakati wa kujaribu poteza wakati mabishano ya kiupuzi na ya kiuwanawali. Nenda kwa JF gossip tafadhali. Leave this posts and forum thread to those who are not faint-hearted.
https://www.jamiiforums.com/interna...evies-nightmare-at-kenya-tanzania-border.html
Tutaendelea kukubana hivihivi mpaka ubadilike....:A S-coffee: