Tatizo lako nakujua kwa povu hujambo. Hebu ongea ukweli je, kwanini mnalia lia kuja kufanya kazi TZ? nia kama baadhi ya watanzania wanavyo pigana juu chini watorokee Marekani.
Hebu niambie kwanini mnalilia sana kuja TZ mbona kwenu kunashida kibao tu?
Sheria ya Tanzania ni kama kuna mtanzania anauwezo wa kufanya kazi hiyo hakuna haja ya kuajiri toka nje au hujui?
Wewe leta biashara hapa ajira waachie wabongo. Leta pesa sio kulia lia. Inajulikana kabisa cheap labors Africa wanapatikana kenya au haujui?