Sasa kati yangu na wewe wapi na wapi. Wewe ni cheap labor. Ndio maana sisi tunajimwaga maana ni raha. Nikikosa town naenda kulima maana ardhi ipo ya bwerere. Ninalima kisha nakula maisha yanasonga. Lakini wewe mwenzangu lazima uajiriwe uwe shamba boy wa wazungu la sivyo ulie lie uje TZ upate ahueni kidogo.
Kama nyie wachapakazi kwa nini nchi yenu masikini ? Wachapakazi Wakorea na Wajapani tunaona nchi zao zilivyoendelea.Elekeza hamaki zako kwa waajiri kwenu, hao ndio wanaona bora waingie gharama za kuwaleta wageni maana wanapata hasara wakiwategemea nyie. Mnalala sana....
Kuna waajiri wenu inabidi kama lazima wawape Watanzania kazi, basi wanalazimika kuwatafuta Watanzania waliosomea na kuishi Kenya. Angalia hii picha hapa chini utajifunza kitu. Badala ya wewe kuendelea kuogopa na kulialia kuhusu ushindani wa Wakenya na kutegemea serikali iendelee kukulinda, bora ufanye maamuzi ya kuwa mchapa kazi wa kujituma, ingia kwenye evening classes, jiboreshe na hapo utakua mtu wa kujiamini na asiyeogopa ushindani.
Kwikwikwikwi, Mbona kuna nchi nyingi tu zinawazunguka? Kwanini msiende kuomba work permit za bure somalia?Tehehehee... Toa povu kabisa. Nataka utoe zote leo lazy bone
Tehehehee... What is the worst you can do... Nasikia mnafanya kwikwikwi wakati mnarogaKwikwikwikwi, Mbona kuna nchi nyingi tu zinawazunguka? Kwanini msiende kuomba work permit za bure somalia?
Kwa nini mnalia lia kuja TZ? TZ kwenu ni ulaya na mashariti tunaendelea kuyabana. Mkitaka msosi tutawapatia hainashida.
Nichokisema, wewe ni kati ya wakenya walio wengi vichwani ni empty. Ninakuuliza swali kwanini ulilie kuja Tanzania wakati sio nchi yako? Kwanini usijenge nchi yako? Mbona hiyo nchi yenu nayo ipo na ardhi tu!!? Kwanini usitumie mda wako kusaidia wakenya wenzio wanaokufa na njaa kwa kujituma kufanya kazi?Tehehehee... What is the worst you can do... Nasikia mnafanya kwikwikwi wakati mnaroga
Nichokisema, wewe ni kati ya wakenya walio wengi vichwani ni empty. Ninakuuliza swali kwanini ulilie kuja Tanzania wakati sio nchi yako? Kwanini usijenge nchi yako? Mbona hiyo nchi yenu nayo ipo na ardhi tu!!? Kwanini usitumie mda wako kusaidia wakenya wenzio wanaokufa na njaa kwa kujituma kufanya kazi?
Hivi nani maskini kati ya hawa; anayelala na njaa na raia zake kufa kwa njaa!!? au yule mwenye chakula kingi na raia zake hawana njaa!!?
Mpaka lini nitakupa somo hili ulielewe au kichwa chako kwa ajili ya kufugia nywele pekee yake?
Kama nyie wachapakazi kwa nini nchi yenu masikini ? Wachapakazi Wakorea na Wajapani tunaona nchi zao zilivyoendelea.
Tumieni huo mnaoita uchapakazi wenu kujenga nchi yenu. Kulialia kwenu hakutawasaidia lolote, Magufuli anawatumikia Watanzania na sio Wakenya .
Pyuuuuu Kenya GDP ya ni $69.170b, Tanzania ni $49.695b, Ethiopia $69.218b, Nigeria $415.080bKama isingekua uchapa kazi wetu tungeorodheshwa kwenye nchi maskini kama nyie. Kainchi ketu kadogo lakini kanaitawala Afrika ya Mashariki na Kati.
Leo hii uchumi wetu unashinda viinchi vikubwa kubwa na vyenye kila aina ya raslimali kama DRC, Tanzania n.k.
Yaani hadi uunganishe uchumi wa Tanzania, Uganda na Rwanda ndio ufikie wa Kenya. Sasa hapo utajifunza kitu, kwamba kujituma ndio suluhisho.
Kwanza huyo Magufuli ndiye hatowalinda kwenye huo uzembe wenu. Umeona juzi mnamzingua Mnigeria Dangote akatinga ikulu ikabidi na ikabidi aachiwe afanye yake. Mlizoea viongozi walioendekeza uzembe na uvivu na wakawa wanawalinda maana wakija wachapa kazi mnapigwa chini. Leo naona kwa awamu hii mnaisoma namba, itabidi mtie bidii na kujiboresha, piga kazi tena kwa kujituma na hutaogopa ogopa Wakenya.
Hizo companies zimeshindwa kuwapa ajira hkohko zitake kuja kuwapa huku? Unaishia kusema kenyan companies dominate wakat wenyewe huko mna shida ya ajira kuliko hata mtanzania ambae hajaingia darasani na mnajikuta mna ma degree kibao sasa mbona wanawaletea hizo ajira watanzania wakat nyie competent mpo huko yanapotokea hayo makampuni na bado mnalia njaaa na kukosa ajira mnaishia kuibiana tunyie ni uoga wa competition...... mnajua mkifungulia kenyan companies zitadominate the comunity..it's not our fault nyi ni wazembe, what's stopping you kuenda kuinvest kenya ama south Sudan.... fear of competition is what is eating you up acha kujiconsole na ati wakenya ni walafi
Turudie mara ngapi kuwa hatuwataki? Mmekuwa kama wanawake malaya kung'ang'ania mabwana. Jengeni nchi yenu mtulie kwenu. Jiiteni matajiri lakini msituletee shombo zenu kwetu.Kama isingekua uchapa kazi wetu tungeorodheshwa kwenye nchi maskini kama nyie. Kainchi ketu kadogo lakini kanaitawala Afrika ya Mashariki na Kati.
Leo hii uchumi wetu unashinda viinchi vikubwa kubwa na vyenye kila aina ya raslimali kama DRC, Tanzania n.k.
Yaani hadi uunganishe uchumi wa Tanzania, Uganda na Rwanda ndio ufikie wa Kenya. Sasa hapo utajifunza kitu, kwamba kujituma ndio suluhisho.
Kwanza huyo Magufuli ndiye hatowalinda kwenye huo uzembe wenu. Umeona juzi mnamzingua Mnigeria Dangote akatinga ikulu ikabidi na ikabidi aachiwe afanye yake. Mlizoea viongozi walioendekeza uzembe na uvivu na wakawa wanawalinda maana wakija wachapa kazi mnapigwa chini. Leo naona kwa awamu hii mnaisoma namba, itabidi mtie bidii na kujiboresha, piga kazi tena kwa kujituma na hutaogopa ogopa Wakenya.
Turudie mara ngapi kuwa hatuwataki? Mmekuwa kama wanawake malaya kung'ang'ania mabwana. Jengeni nchi yenu mtulie kwenu. Jiiteni matajiri lakini msituletee shombo zenu kwetu.
Unajituma vipi nyumbani kwako kila siku njaa haiishi!? Kujituma kwako kuendane na kukomboa tumbo. Nyie ni cheap labor tu msilete kisingizio. Je, kujituma kwenu kumeleta faida gani katika nchi yenu? Mbona kucha kutwa mnalilia kupata ndizi za kuchemsha toka moshi? Kila mara mnalialia kupata unga japo mpate mlo!!?Hamtutaki mkiwa nani, sema labda lofa wa kitaa kama wewe lakini wawekezaji wanakubali utenda kazi wa watu wanaojituma.
we can survive without it bro...worry not!It is a requirement of EAC, give us a favor and get out of EAC
Ndio hivyo, vibali vya bure mnavyotaka hamtapata. Katika kampuni kubwa Tanzania huwezi kukuta wameajiri Mkenya , nyie mnapata kazi kwenye vijikampuni uchwara. Narudia tena, mwambieni Rais wenu awatengenezee ajira muache kutangatanga kwa jirani .Hamtutaki mkiwa nani, sema labda lofa wa kitaa kama wewe lakini wawekezaji wanakubali utenda kazi wa watu wanaojituma.
Wangekua wanawakubali hayo makampuni si wangefungua hukohuko wawanufaishe zaidi? Ishu ni kwamba mna njaa sana mko tayari kulipwa hata visenti na kupewa kaeneo kakujibanza kuliko kukaaa huko kwenu mkihangaika wakenya wengi bongo ni cheap labor tuHamtutaki mkiwa nani, sema labda lofa wa kitaa kama wewe lakini wawekezaji wanakubali utenda kazi wa watu wanaojituma.
Wangekua wanawakubali hayo makampuni si wangefungua hukohuko wawanufaishe zaidi? Ishu ni kwamba mna njaa sana mko tayari kulipwa hata visenti na kupewa kaeneo kakujibanza kuliko kukaaa huko kwenu mkihangaika wakenya wengi bongo ni cheap labor tu
Mali ghafi kivipi? Hebu acha kujishebedua wewe. Hivi unadhani sisi hatujui kenya!!? Nchi gani mmeenda kwa ajili ya mali ghafi? Nyie ni wachuuzi na vibarua wa watu weupe mtatuambia nini. Tatizo la njaa limewashinda kulishughulikia kwa sababu nyie ni wazembe wa kutupwa Africa.Kampuni zipo Kenya, sasa wengi wanatanua na kuingia kwenye nchi za Afrika, hususan Bongo yenye mali ghafi nyingi. Tatizo linakuja pale wanahitaji watenda kazi wa kweli.
Kwakua ni wazalendo sana na wanawapenda kwa nn wasiagizie hizo mali ghafi na kuendelea kuwaajiri hukohuko?? Kenya wanatumia tu kama uchochoro wakujichotea wanayotaka humo na wakubwa kama mnayosema yangekua kweli msingekua mnahangaika kwenye nchi za watu hasa majirani zenu ambao mmewapita mana maskini wanakimbilia kwenye sehem nzuri yenye maslahi ila nashangaa nyie mnaojiita matajiri na mpo juu ndo wakwanza kulilia mpewe access kwenda kwa wenzenu ambao mnaona mmewapita Mmexico anakimbilia Marekani sabab wapo juu anajua huko mambo yatanyooka kidogo tabu inakuja kwa Mkenya anapolilia apewe easy acces kuja TanzaniaKampuni zipo Kenya, sasa wengi wanatanua na kuingia kwenye nchi za Afrika, hususan Bongo yenye mali ghafi nyingi. Tatizo linakuja pale wanahitaji watenda kazi wa kweli.