Kenya Tanzania Love Connect Thread

Kenya Tanzania Love Connect Thread

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Baada ya Binti wa Kibongo kutoa mada kwamba Wakenya hawajihusishi na nyuzi za mapenzi nimeanzisha huu uzi ili kuweka jukwaa la wanaotaka kupendana kutoka hizi nchi mbili. Haya twende........
 
Ha ha wakenya wengi socialization ni zero. Hata kwenye forum yenu kumepoa. Anyway jitahidi kuwa convince dada's wa kenya kujoin huku. Ha ha soon kutakuwa na mabadiliko
 
Ha ha wakenya wengi socialization ni zero. Hata kwenye forum yenu kumepoa. Anyway jitahidi kuwa convince dada's wa kenya kujoin huku. Ha ha soon kutakuwa na mabadiliko
Mara nyingi risasi ya kwanza ndio inanzishaga vita, haya mkuu tuko nyuma yako japo huu uzi ni wa mahaba.
 
Mara nyingi risasi ya kwanza ndio inanzishaga vita, haya mkuu tuko nyuma yako japo huu uzi ni wa mahaba.
hahahh yale yaleee vita baridi inaendelea...
by the way niyaache hayo ngoja nisubiri manzi wa kikenya, pia huwa sijali kabila [emoji1] [emoji1]
 
Nilisha wahi kuwa na demu wa kikenya alikuwa mzuri alikuwa anauza duka la kaka yake dah! Miaka kama 7 sijui atakuwa wapi jamani yule mtoto
 
Bado cjaona nguna yeyote hapa ma chali tu ndio wamejaa hapa hehehehe nimesare hii thread mpaka hata stuof moja atoklezee
 
Mod waanzishe kitengo cha mapenzi cha Wakenya ili mabinti wetu watiririke humo, na sisi tupate fursa ya kuwafuata watoto wa Kibongo. Kwanza hapo Tanga basi.....
Japo pia ukienda kule Karatu (napapenda) kuna watoto wa Wambulu, sijui Wairaq.. duh jamani.
 
Mamanzii wa Kenya wamecheza judo

Wala hujakosea, ukileta za kuleta unakun'gutwa tu, hawa usiwazoee kama wewe mtu wa chips mayai hapo Dar. Anakupa kichapo na bado atategemea umtendee haki yake kitandani..ole wako igome.
74075667.jpg
 
Ikiwa mnajiweza njooni Ktalk
Boring as hell yaani i cant even remember z last time nimelog in....

Kuna moja inaitwa politica yaani ni wapuuzi ndio waliojaa mule nd whenever the word tz passed on their news headlines,trashtalk follows nd the same applies to ktalk

Hivi kuna forum ya Kenya ambayo ipo descent nd vibrant apart from redditkenya
 
Tatizo kiswahili chao ni shida tupu! JamiiForums.com
 
Mod waanzishe kitengo cha mapenzi cha Wakenya ili mabinti wetu watiririke humo, na sisi tupate fursa ya kuwafuata watoto wa Kibongo. Kwanza hapo Tanga basi.....
Japo pia ukienda kule Karatu (napapenda) kuna watoto wa Wambulu, sijui Wairaq.. duh jamani.
Kuna binti wa kutoka Kiambu hapa, nyuma amejaliwa neema za Mwenyezi Mungu si mchezo. Yeye ameamua kuachana na sisi watu wa Afrika Mashariki na vibamia vyetu na amejikita kwa Waafrika Magharibi na Wakongo. Yupo na Mnaija wa ovyo ovyo hadi nasikia uchungu.
 
Hehehe!! wasikuskie akina Sky Eclat na kui wao hutusema sisi wanaume wa EAC tuna vichunusi hata sio vibamia. Eti kule kwa Wanaija ndiko waliko wanaume. Yaani huwa inaniuma hadi nahisi nikikutana na mnaija yeyote kitaa anakenua meno nampa kibao tu bila kumwambia kisa nini....hehehehe.
 
Back
Top Bottom