Kenya Tanzania Love Connect Thread

Kenya Tanzania Love Connect Thread

Tehe!,..Cameroun iko karibu na Congo kwa hiyo lazima mmefanana fulani..
Halafu hivi karibuni si mlitunukiwa ushindi na kunyakua kombe la kuwa viumbe bora duniani kwa kuwa na mibaraka mikubwa mikubwa?

atoto asione hii coz mh!
Dogo uko deep!!
I kanti you my dia.
 
Mod waanzishe kitengo cha mapenzi cha Wakenya ili mabinti wetu watiririke humo, na sisi tupate fursa ya kuwafuata watoto wa Kibongo. Kwanza hapo Tanga basi.....
Japo pia ukienda kule Karatu (napapenda) kuna watoto wa Wambulu, sijui Wairaq.. duh jamani.
wanawake wa kenya wakorofi sana .wanapenda hela tu hawanma mapenzi ya kweli
 
wanawake wa kenya wakorofi sana .wanapenda hela tu hawanma mapenzi ya kweli

Mwanamke yupi asiyependa hela siku hizi, awe Mtanzania au Mkenya, tunaenda nao vivyo hivyo tu. Na ndio maana kama upo na hela mwanaume unapata raha maana unaitwa baby hata kama babu la makamo.
Inabidi utumie hela kumtunza mwanamke, la sivyo atatunzwa kwengine na utashangaa anapendeza zaidi ya alivyokua nawe.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Siwatukani bhana, kama hauko hivyo habari ya vichunusi wala haita kutisha. 🙂

Aki woiye tumia neno la kistaarabu, bora hata useme "vibamia"... yaani kui wanaume wanapita kimya kimya hehehehe!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Aki woiye tumia neno la kistaarabu, bora hata useme "vibamia"... yaani kui wanaume wanapita kimya kimya hehehehe!!

Hahah!, you're making it even worse sasa..eti wanapita kimyakimya.😀😀😀
 
Wanawake wengi wakenya weusi tiii halafu wachafu wanazidiwa usafi na wanaume wa dArisalama
 
Back
Top Bottom