Kenya Tanzania Love Connect Thread

Kenya Tanzania Love Connect Thread

Hehehe!! wasikuskie akina Sky Eclat na kui wao hutusema sisi wanaume wa EAC tuna vichunusi hata sio vibamia. Eti kule kwa Wanaija ndiko waliko wanaume. Yaani huwa inaniuma hadi nahisi nikikutana na mnaija yeyote kitaa anakenua meno nampa kibao tu bila kumwambia kisa nini....hehehehe.
Na shida kubwa unakuta Wanaija wenyewe wa ovyo ovyo tu.
 
Hehehe!! wasikuskie akina Sky Eclat na kui wao hutusema sisi wanaume wa EAC tuna vichunusi hata sio vibamia. Eti kule kwa Wanaija ndiko waliko wanaume. Yaani huwa inaniuma hadi nahisi nikikutana na mnaija yeyote kitaa anakenua meno nampa kibao tu bila kumwambia kisa nini....hehehehe.

Hahaha!, poleni sana mbona. Eti umzabe kibao bila kumwambia kisa, una visa weye. 😀
 
Kuna binti wa kutoka Kiambu hapa, nyuma amejaliwa neema za Mwenyezi Mungu si mchezo. Yeye ameamua kuachana na sisi watu wa Afrika Mashariki na vibamia vyetu na amejikita kwa Waafrika Magharibi na Wakongo. Yupo na Mnaija wa ovyo ovyo hadi nasikia uchungu.

Africa magharibi na Congo kuna siri kubwa huko ndugu yangu wa Afrika mashariki, inabidi mkaitafute...lol!
 
Hivi wa mombasa raha wako wapi.. Yule anatoa mafunzo
 
Hahaha!, poleni sana mbona. Eti umzabe kibao bila kumwambia kisa, una visa weye. 😀

Hehehe!! Yaani mrembo kui naomba ujifunze sana, usije msifia mwanaume yeyote mbele ya mpenzi wako. Maana atapoteza meno bila kujua kisa nini, kuna watu hujikuta wanazabwa vibao kitaa bila kujua ugomvi umeanzia wapi.
Kwanza hawa Wanaija na makanzu yao haya halafu wanapenda kuongea ongea sana, mademu wetu wanawashobokea utadhani wametokea kwenye sayari ya mbali....bure kabisa. Tuliwahi rushiana nao vijembe kwenye Twitter Kenyans vs Nigerians

Halafu hao Wakongoman unaowasifia ndio wamejaa hapo Kariokoo kazi kufungia suruali kwenye tumbo na kuongea ongea sana hadi watoto wa Kibongo wamedata.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hivi Kenya wasichana kama Corozan Kwamboka wanapatikana kweli?
 
MK254 Sasa nyinyi kaka zangu, mlivyoona wazungu wanavaa pichu na suit mkaona wale wanaovaa matenge na makanzu hawajastaarabika, siri ni kubana hizo kitu mpaka vinabaki vichunusi vikijitahidi ni vibamia.
 
Duh,!!
 
Asanteni kwa kushughulikia ombi langu Kenyans .....nawapenda!!!
[emoji173][emoji173][emoji8][emoji8][emoji8]
 
cc@Gezaulole babu yetu, king of mapenzi uko wapi mkuu, hatukuoni hapa??
 
wengine hapa JF wanafaa wajitambulishe, mara zengine sijui kama naongea na mume ama mke...
 
Hehehe!! Yaani mrembo kui naomba ujifunze sana, usije msifia mwanaume yeyote mbele ya mpenzi wako. Maana atapoteza meno bila kujua kisa nini, kuna watu hujikuta wanazabwa vibao kitaa bila kujua ugomvi umeanzia wapi.
Kwanza hawa Wanaija na makanzu yao haya halafu wanapenda kuongea ongea sana, mademu wetu wanawashobokea utadhani wametokea kwenye sayari ya mbali....bure kabisa. Tuliwahi rushiana nao vijembe kwenye Twitter Kenyans vs Nigerians

Halafu hao Wakongoman unaowasifia ndio wamejaa hapo Kariokoo kazi kufungia suruali kwenye tumbo na kuongea ongea sana hadi watoto wa Kibongo wamedata.

...haha, wanaija na ile accent yao, na wa Congo na kile kilingala chao, mnazidiwa kete...lol
 
Back
Top Bottom