NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Mara nyingi risasi ya kwanza ndio inanzishaga vita, haya mkuu tuko nyuma yako japo huu uzi ni wa mahaba.Ha ha wakenya wengi socialization ni zero. Hata kwenye forum yenu kumepoa. Anyway jitahidi kuwa convince dada's wa kenya kujoin huku. Ha ha soon kutakuwa na mabadiliko
hahahh yale yaleee vita baridi inaendelea...Mara nyingi risasi ya kwanza ndio inanzishaga vita, haya mkuu tuko nyuma yako japo huu uzi ni wa mahaba.
Haha, hata sijuwi vita itaisha lini, inabidi tumfufue Bob Marley aje atuimbie ONE LOVE.hahahh yale yaleee vita baridi inaendelea...
by the way niyaache hayo ngoja nisubiri manzi wa kikenya, pia huwa sijali kabila [emoji1] [emoji1]
Dah! nilikuwa huko mwezi wa 4 mkuu askari wa hapo ni wanoko hatari!Manze wa kenya aliepo namanga hapa....anishtue pm tuyajenge
Mamanzii wa Kenya wamecheza judo
hahaaa huko hakufai bro, meffi!Ikiwa mnajiweza njooni Ktalk
Boring as hell yaani i cant even remember z last time nimelog in....Ikiwa mnajiweza njooni Ktalk
Kuna binti wa kutoka Kiambu hapa, nyuma amejaliwa neema za Mwenyezi Mungu si mchezo. Yeye ameamua kuachana na sisi watu wa Afrika Mashariki na vibamia vyetu na amejikita kwa Waafrika Magharibi na Wakongo. Yupo na Mnaija wa ovyo ovyo hadi nasikia uchungu.Mod waanzishe kitengo cha mapenzi cha Wakenya ili mabinti wetu watiririke humo, na sisi tupate fursa ya kuwafuata watoto wa Kibongo. Kwanza hapo Tanga basi.....
Japo pia ukienda kule Karatu (napapenda) kuna watoto wa Wambulu, sijui Wairaq.. duh jamani.
Kuna binti wa kutoka Kiambu hapa, nyuma amejaliwa neema za Mwenyezi Mungu si mchezo. Yeye ameamua kuachana na sisi watu wa Afrika Mashariki na vibamia vyetu na amejikita kwa Waafrika Magharibi na Wakongo. Yupo na Mnaija wa ovyo ovyo hadi nasikia uchungu.