Na shida kubwa unakuta Wanaija wenyewe wa ovyo ovyo tu.
Wewe!!Hahaha!, poleni sana mbona. Eti umzabe kibao bila kumwambia kisa, una visa weye. 😀
Kuna binti wa kutoka Kiambu hapa, nyuma amejaliwa neema za Mwenyezi Mungu si mchezo. Yeye ameamua kuachana na sisi watu wa Afrika Mashariki na vibamia vyetu na amejikita kwa Waafrika Magharibi na Wakongo. Yupo na Mnaija wa ovyo ovyo hadi nasikia uchungu.
Nimekununia.Mambo mpenzi?, mwaahh!,...missed you...🙂
Weeeeh usiniambie!!Africa magharibi na Congo kuna siri kubwa huko ndugu yangu wa Afrika mashariki, inabidi mkaitafute...lol!
Hahaha!, poleni sana mbona. Eti umzabe kibao bila kumwambia kisa, una visa weye. 😀
bwahahaha, jitu halina moyo hilocc@Gezaulole babu yetu, king of mapenzi uko wapi mkuu, hatukuoni hapa??
Hehehe!! Yaani mrembo kui naomba ujifunze sana, usije msifia mwanaume yeyote mbele ya mpenzi wako. Maana atapoteza meno bila kujua kisa nini, kuna watu hujikuta wanazabwa vibao kitaa bila kujua ugomvi umeanzia wapi.
Kwanza hawa Wanaija na makanzu yao haya halafu wanapenda kuongea ongea sana, mademu wetu wanawashobokea utadhani wametokea kwenye sayari ya mbali....bure kabisa. Tuliwahi rushiana nao vijembe kwenye Twitter Kenyans vs Nigerians
Halafu hao Wakongoman unaowasifia ndio wamejaa hapo Kariokoo kazi kufungia suruali kwenye tumbo na kuongea ongea sana hadi watoto wa Kibongo wamedata.