Kenya tena: Waziri wa Kilimo tulikuonya mapema kuruhusu Wakenya kuingia mpaka mashambani kununua mazao hukusikia. Huu ni mwanzo tu!

Ni mambo ya kimahusiano tu vipngozi wenye mamlaka pande zote wakae mezani.
 
Hawa wakenya wanajikuta wamebarikiwa akili nyingi na kuna mabwiga kila siku kazi kusifu wakenya tu
 
Bashe alijiiona Big Brain wa Tanzania (BBT), ngoja afundishwe kazi wakora
Ni big brain ndio,hakuna Mkunya ataruhusiwa kununua Mazao Shambani..

Kwani soko la Mahindi ni Wakunya pekee? Kuna DRC,South Sudan,Ethiopia nk.

Serikali inatakiwa iwaambie Wafanyabiashara kwamba watafute soko Nje ya Kenya ila kanuni ziko pale pale na tunakoenda itakuwa marufuku kuuza mahindi ghafi..

Mwisho Rais atafute watu wenye akili Wizara ya Kilimo.ili tujuze sekta ya mifugo ndio iwe inatoa soko kubwa Kwa nafaka zetu hasa mahindi..

Ikibidi ikawaajiei wenye akili kutoka Botswana kama.wa Bongo wameshindwa kugeuza Kilimo kuwa Cha kibiashara,wawape ranch zetu walete Mageuzi.
 
Wewe hutokaa uwe Waziri Hadi unakufa,awe kituko au asiwe kituko ndio Waziri wako huyo
Hivi hapo kwenye balaza la mawaziri una waume wangapi?

Hebu twambie kati ya Makamba, Nape, Bashe na Mwigulu mumeo hasa ni yupi maana huwa una ng'aka sana wakiguswa
 
Mkuu,Kwanza kabisa niseme tu kwamba Tatizo Sio Kuzuia,Tatioz ni unazuiaje?Je hao wanaozuiwa ni kina nani?Walifikaje na Mahindi mpaka Mpakani?Kwa nini wanapeleka Mahindi Nchini Kenya?Je Uzalishaji wetu kwa mwaka huu ni kiasi gani Je mahitaji ya ndani ni kiasi gani na Uhitaji wa nje ni kiasia gani?jJe haya Mahindi yakibaki hapa Tanzania au yakienda Kenya kuna faida au hasara Gani?

Kama taifa lazima tuwe na utaratibu wa wazi wa kuelewa Jinsi Jambo Fulani ambalo lina athari kwetu linatatuliwa.Kama Taifa halitaki Chakula kitoke nje basi ni lazima Liwe Tayari Kuyanunua.Sio tua kuyanunua bali kuyanunua kwa bei ambayo ni shindani sokoni toka kwa Wakulima.

Swali Kujiuliza Je Serikali yetu ina sera gani kuhusu Suala la Ununuzi wa Mazao wakati wa Mavuno?Je Tunayoa Maghala Ya kutosha kuhifadhi Mahindi yaa kutosha kwa Chakula hata kwa kutumia Mfumo wa STakabadhai Ghalani pamoja na Mifumo mingine ambayo ni rafiki kwa wakulima?Kama hatuna basi Jitihada zatu ni BURE kwani Tuataendelea kuuza chakula Chetu nje kwa hasara na Pia Tutaendelea kupandisha gharama za maisha kwa maamuzi ambayo hayako kimkakati.

Tunayo Boda ya Mazao Mchanganyiko na tunayo bodi ya Nafaka ambazo naamni zinayo nafasi ya kuishauri serikali na hata kushirikiana na Serikali katika Kuhakikisha kwamba Biashara ya kilimo inaenda kwa namna ambayo ni rafiki kwa wakulima wafanyabiasha na taifa kwa ujumla Tuumize Kichwa.
 
Hivi kwa nini soko lisiwe ndani na mnunuzi ndo awwjibike kusafirisha?

Tuna upumbavu wa kijjnga mwingi sana na hatujufunzi.

Tuache kuwa makondoo kwa majirani masnitch kama Kenya na Zambia
 
Mwananchi na Citizen ni Kenya.
 
Tanzania ndo iliyozuia mahindi kutoka na sio Kenya kuzuia mahindi kuingia nchini kwao. Shida ya wabongo hata hatusomi msitari Kwa msitari. Hata mtoa post naye anapost kitu ambacho naye hajasoma. Nchi ngumu sana hii
 
Ni kuzuwia na wao wasitoke na mahindi na wasipite nayo Tanzania wanayoyanunuwa Zambia. Simpo.

Hizo siasa ndo hatutaki kipindi hiki cha bi mdashi. Mama kafungua nchi wewe unashauri kufungia tena. Bi faiza unayumba sasa na kumuhujumu rais na waziri bashe
 
Yeye Bashe anasemaje kuhusu hili au yuko bize na mambo mengine na zile nywele zake zilizolambwa na paka?
 
Serikali iache kubembeleza Wafanyabiashara,iwaambie Kenya Hawataki mahindi ya Tanzania so wao watafute soko kwingine kama South Sudan,DRC nk
Hapo umewaza kama Bashe mwenyewe au yule mwizi wa jina alisema muhamie Burundi.

Yaani, muwaruhusu waingie kununua hayo mahindi mashambani kwa kisingizio cha kufungua nchi, ujinga ulioje KISHA mdhanie mtabeba mahindi yenu kwenye malori MKAWALANGUE kwao?

Ukiwa kada au chawa, huhitaji UBONGO, UTI wa mgongo unatosha!
 
Hivi unakijua unachoongea wewe kweli au unaropoka tuu? Serikali ilizzuia kununua mahindi mashambani na waliozuia mahindi ni Wakenya wenyewe Sasa sijui unaongea nini.
 
Na wewe mara nyingi sana unakuwa mpuuzi kama huyo unayemsea hapo.

Ni nani aliyesababisha malori kukwama hapo mpakani?
Wewe ndio mpuuzi,ni Wakenya Hawataki mahindi yetu kisa walikatazwa kununua mashambani
 
Serikali ilizzuia kununua mahindi mashambani na waliozuia mahindi ni Wakenya wenyewe Sasa sijui unaongea nini.
Sijaelewa kweli!

Iliyoruhusu ujinga huo ni serikali, kule shinyanga, Arusha wakajaa Wakomoro, Wasudani, Wakenya n.k

Serikali hiyo hiyo ikaambiwa huo ni ujinga, mkatumia mpaka waua tembo kusema mkulima auze anapotaka.

Leo unasema serikali imezuia?

Sielewi ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…