Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape

Kenya SGR avg speed
Passenger train 120 kph
Goods train 80 kph
Mombasa Nairobi chini ya masaa 4
 
DQ8BkYel.jpg
G9b3VMLl.jpg
Hd04YQDl.jpg
 
Mariakani Station - Coast

d3cNj0D.jpg

Mbona hao abiria wa Mariakani Railway station hawafanani na wakazi wa Mariakani au hiyo station imejengwa kwa ajili ya kuhudumia Wazungu na Wahindi?

Kwa maana nijuavyo mimi nchi ya Kenya zaidi ya 95% ya wakazi wake ni watu weusi yaani Waafrika lkn sioni hata mmoja kwenye hiyo station. Au labda wako wanabeba mizigo ya Wazungu ndiyo maana hawaonekani?
 
Just get a life

Jengeni yenu ya wazungu
Hapa kenya We are looking at a multi cultural approach last I checked nearly

700,000 Asian hold kenyan birth certificates

400,000 are in kenya
The rest in London area UK SA and India

Nearly 200,000 Arabs of kenyan origin hold the Kenyan birth certificate

20,000 in Oman the rest in mombasa

67,000 kenyan whites

2,000,000 somalis born in kenya out of refugee camps

2, 000,000 more born or residing inside refugee centres

Nearly 400,000 Ethiopians and Eritreans also leave in kenya

Above that last 5YRS alone 2,000,000 Chinese have moved to Africa

300,000 of these went to SA

150,000 went to Algeria

In kenya there are more than 48,000 permanent Chinese residents and about 100,000 Chinese tourists visited kenya

We also are building the largest airport terminal in africa to be completed in 2017 25,000,000 people will be using it per year

So am pretty sure we are multi cultural GET A LIFE OR BUILD BLACK ONLY
RAILWAY STATIONS IN TANZANIA THEN!!
 
Just hope kenyattas 2017-2022 manifesto will include universal housing /standard housing for all kenyans the money used to construct the railway system from Mombasa to Nairobi if invested in
1. Cement manufacturing

Could see kenya become the tenth largest cement producer in the world

Or

2. 20 million housing units in 12 Chinese ghost towns in eastern China cost a mere 6bn$
thus with Chinas one child policy could see 65mn people get a decent house

I think 3bn$ ya SGR could have other wise build everyone a nice house about 25mn people at least if they consulted the Chinese and ask how they did it there
considering kenya average family has 3-10 people

3. If SGR money was invested in water production ie desalination and piping and dam construction we would see
Enough water that Spain 18trn cubic meters per year

This could see
1bn trees planted in North eastern kenya
5mn acres of land irrigated
And piping water and proper sanitation for all

I would much prefer
Uhuru to put this in his 2017-2022 manifesto if so I will vote for the guy in a heart bit despite the security problems

Otherwise BEGGARS CANT BE CHOSERS so am pretty psyched about this SGR

moving from Mombasa to Nairobi to nakuru to kisumu to malaba /Uganda border in 6hrs Is pretty nice

Bit to mention the LAPPSET SGR that will meet this one at Isiolo county thus Garissa lamu moyale in kenya and moyale in ethiopia and Addis Ababa in just 10hrs I would be anywea in a matter of hours!!!!!
 
Just get a life

Jengeni yenu ya wazungu
Hapa kenya We are looking at a multi cultural approach last I checked nearly

700,000 Asian hold kenyan birth certificates

400,000 are in kenya
The rest in London area UK SA and India

Nearly 200,000 Arabs of kenyan origin hold the Kenyan birth certificate

20,000 in Oman the rest in mombasa

67,000 kenyan whites

2,000,000 somalis born in kenya out of refugee camps

2, 000,000 more born or residing inside refugee centres

Nearly 400,000 Ethiopians and Eritreans also leave in kenya

Above that last 5YRS alone 2,000,000 Chinese have moved to Africa

300,000 of these went to SA

150,000 went to Algeria

In kenya there are more than 48,000 permanent Chinese residents and about 100,000 Chinese tourists visited kenya

We also are building the largest airport terminal in africa to be completed in 2017 25,000,000 people will be using it per year

So am pretty sure we are multi cultural GET A LIFE OR BUILD BLACK ONLY
RAILWAY STATIONS IN TANZANIA THEN!!

Sawa lkn mbona sasa haionekani kama ni multicultural Railway station in a multicultural country kama ulivyoiita?
Kwa maana sioni Mtu mweusi hata mmoja bali naona Wazungu tu, au watu weusi hawamo kwenye equation yako ya Multicultularism in Kenya?

U just make me sick with ur constant bickering

Have u been to JKIA the premier kenyan transport hub!!!!

Unaonanga wazungu na Wahindi pekee????

They said that travelling from Mombasa to Nairobi will cost a 1/4 of the current bus prices so why would a normal kenyan pay 2000 to go by bus while u can pay 500/- by train????

Also Mariakani is set to be an industrial zone together with NAIVASHA and konza, so agricultural activities and manufacturers will be there

just use ur brains before u strt commenting shit its getting tiresome
 
Hayo yote nakubaliana nayo ila nashindwa tu kuelewa iweje nchi ambayo zaidi ya asilimi 95% ya wakazi wake ni Waafrika au watu weusi halafu nchi hiyo inachora ramani ya kuonyesha jinsi railway station yake itakavyokuwa na kuweka picha za Wazungu watupu, yaani hiyo picha inaonyesha kwamba watumiaji wa hiyo station ni Wazungu na Wahindi ambao wala hawafikii asilimia 1% ya Wakenya wote, ni ngumu sana kwangu kuelewa mtu anawezaje kufikiri namna hii!
 
Have it ur way

We have numerous mall renders numerous railway station renders

Numerous airport renders all with white people but wen they are finished its just black people around if we were in a racially divided country like SA OR USA ur rants would have really invoked comments but most kenyans know after all is drawn and built its black kenyans who will use that
 
i loooooove the chinese

nangoja renders za nakuru!!!!!

Heard naivasha nakuru sections starts in 2018 cant wait for that mi home town!!

At times you gotta admit mistakes, those renders should have black faces but that is neither here nor there.
Inaonekana hujapata habari, SGR haipitii Nakuru
 
Back
Top Bottom