Aiii NairobiWalker passengers ndio zitabadilika!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jitihada AbdulRahman Mohamed Babu, mbona hilo hukuliweka?
Mariakani Station - Coast
![]()
Mbona hao abiria wa Mariakani Railway station hawafanani na wakazi wa Mariakani au hiyo station imejengwa kwa ajili ya kuhudumia Wazungu na Wahindi?
Kwa maana nijuavyo mimi nchi ya Kenya zaidi ya 95% ya wakazi wake ni watu weusi yaani Waafrika lkn sioni hata mmoja kwenye hiyo station. Au labda wako wanabeba mizigo ya Wazungu ndiyo maana hawaonekani?
mombasa west station - impression
![]()
![]()
![]()
somebody above sounds very jealous watching the dream becoming a reality.
![]()
Just get a life
Jengeni yenu ya wazungu
Hapa kenya We are looking at a multi cultural approach last I checked nearly
700,000 Asian hold kenyan birth certificates
400,000 are in kenya
The rest in London area UK SA and India
Nearly 200,000 Arabs of kenyan origin hold the Kenyan birth certificate
20,000 in Oman the rest in mombasa
67,000 kenyan whites
2,000,000 somalis born in kenya out of refugee camps
2, 000,000 more born or residing inside refugee centres
Nearly 400,000 Ethiopians and Eritreans also leave in kenya
Above that last 5YRS alone 2,000,000 Chinese have moved to Africa
300,000 of these went to SA
150,000 went to Algeria
In kenya there are more than 48,000 permanent Chinese residents and about 100,000 Chinese tourists visited kenya
We also are building the largest airport terminal in africa to be completed in 2017 25,000,000 people will be using it per year
So am pretty sure we are multi cultural GET A LIFE OR BUILD BLACK ONLY
RAILWAY STATIONS IN TANZANIA THEN!!
Sawa lkn mbona sasa haionekani kama ni multicultural Railway station in a multicultural country kama ulivyoiita?
Kwa maana sioni Mtu mweusi hata mmoja bali naona Wazungu tu, au watu weusi hawamo kwenye equation yako ya Multicultularism in Kenya?
![]()
U just make me sick with ur constant bickering
Have u been to JKIA the premier kenyan transport hub!!!!
Unaonanga wazungu na Wahindi pekee????
They said that travelling from Mombasa to Nairobi will cost a 1/4 of the current bus prices so why would a normal kenyan pay 2000 to go by bus while u can pay 500/- by train????
Also Mariakani is set to be an industrial zone together with NAIVASHA and konza, so agricultural activities and manufacturers will be there
just use ur brains before u strt commenting shit its getting tiresome
Hayo yote nakubaliana nayo ila nashindwa tu kuelewa iweje nchi ambayo zaidi ya asilimi 95% ya wakazi wake ni Waafrika au watu weusi halafu nchi hiyo inachora ramani ya kuonyesha jinsi railway station yake itakavyokuwa na kuweka picha za Wazungu watupu, yaani hiyo picha inaonyesha kwamba watumiaji wa hiyo station ni Wazungu na Wahindi ambao wala hawafikii asilimia 1% ya Wakenya wote, ni ngumu sana kwangu kuelewa mtu anawezaje kufikiri namna hii!
i loooooove the chinese
nangoja renders za nakuru!!!!!
Heard naivasha nakuru sections starts in 2018 cant wait for that mi home town!!