Kenya thrashes Fiji 22-19 in nerve-racking rugby battle

Kenya thrashes Fiji 22-19 in nerve-racking rugby battle

I am not a racist but i will do the same to Kenyans no offence. Nime soma na nyie watu seco school ukora mnaujua siyo masikhara. Hapa sileti utani msee, you guys mpo sharp mpaka mmepitiliza. Wasee walikua wana sema ukae radar kila saa, ukizubaa tu una kuta tranker lina cheka. Mpaka mapiroo walikua wanakwapua

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ndio maana ukiitwa mnafik unatokwa na povu. Waliokukaribisha na kukuelimisha ndio sasa unawachukia. Hapa tunaongea kuhusu raga. Ingieni kiwanjani mtubague wakati tunamenyana hayo mengine kwenye michezo hayatambuliki.
 
Msee kwani nikisoma na wakenya lazima niwe nimesomea Kenya! Ila nyie watu mnabamba sana na uchizi wenu..
 
The first world countries know better. Hao Fiji are not informed that Kenyans are talented thieves. There is a reason why first world countries cant share lockers with you. They read news and some must have first hand experience.
For ur info fiji wanakujanga kuplay 7's za kenya, this was jus racism on their side wacha umama
 
Msee kwani nikisoma na wakenya lazima niwe nimesomea Kenya! Ila nyie watu mnabamba sana na uchizi wenu..
Siulisema wewe mwenyewe kwamba ulisomea Kenya. Au ni nani huwa anakuandikia comments zako hapa Jf?
 
Kuna tofauti kati ya kusoma Kenya na kusoma na wakenya! Kuwa mtulivu
Hahaha. 😀 Ulisema ulisomea Machakos, au ni Machakos ya kule Ushelisheli? [emoji38] Rudi kwenye ule uzi wa Happy 420. I never forget, I can even remember what I was doing on this day, 15 years ago.
 
Hahaha. 😀 Ulisema ulisomea Machakos, au ni Machakos ya kule Ushelisheli? [emoji38] Rudi kwenye ule uzi wa Happy 420. I never forget, I can even remember what I was doing on this day, 15 years ago.
Nimeona ako rada na sheng saii anaruka[emoji23] [emoji23]
 
The first world countries know better. Hao Fiji are not informed that Kenyans are talented thieves. There is a reason why first world countries cant share lockers with you. They read news and some must have first hand experience.
Fiji na Samoa ndo nchi/timu ambazo ziko na wachezaji wengi wa rangi nyeusi... na pia jamaa wakutoka hizi nchi hua wako humble kabisa alafu wako na desturi zengine zinafanana na kabila za kiafrica kwahivyo tukifika kule hua tukikutana nao nje ya uwanja inakua ni kama 'brother from another mother'... South Africa ambayo hua pia inawakilisha Africa lakini wachezaji wao wengi ni wazungu ....

kwa nchi zote ndani ya hiyo world rugby sevens hakuna nchi ambayo hua inaamsha stadium kama Kenya sevens wakianza kushinda, infact, kama mashabiki wa nchi zengine hushabikia kenya kama nchi yao haimo uwanjani. alafu kuna gora flani la wakenya kazi yao hua ni kusafiri hadi huko kuangalia hizo mechi tu ... hua wanaliga kelele sana hadi wamefanya reputation
 
Hahaa.. msee we ni mnoma! Umefukua kabuli.. ila ata humo sikusema nilisoma Kenya. Enyewe murder hii risto [emoji1]
Sawa jombaa acha nikule vako. [emoji38] Wanajopo wataamua wenyewe ulichosema kwenye uzi huo. Wewe pia uache matusi.
 
Hahaa.. msee we ni mnoma! Umefukua kabuli.. ila ata humo sikusema nilisoma Kenya. Enyewe murder hii risto [emoji1]
Hehehe kumbe mko hivyo Wabongo? Yani unadanganya ushawahi somea Kenya kumbe hujawahi ata kanyanga humo lakini mnajifanya kujua Kenya kuliko hata wenyeji. Njia ya muongo ni fupi...mhenga circa 247 A.D
 
Hehehe kumbe mko hivyo Wabongo? Yani unadanganya ushawahi somea Kenya kumbe hujawahi ata kanyanga humo lakini mnajifanya kujua Kenya kuliko hata wenyeji. Njia ya muongo ni fupi...mhenga circa 247 A.D

Hahahaha... this has made my evening
 
Hehehe kumbe mko hivyo Wabongo? Yani unadanganya ushawahi somea Kenya kumbe hujawahi ata kanyanga humo lakini mnajifanya kujua Kenya kuliko hata wenyeji. Njia ya muongo ni fupi...mhenga circa 247 A.D
Wewe una dandia train kwa mbele.. pitia maandishi yangu utajua ukweli, i cnt brag kuhusu kusomea Kenya infact nimekua niki kataa ila Pingli nywee ame insist kwa sababu zake mpaka akaleta thread ambayo tulikua tuna jibamba na habari za kuchoma kush. Sasa wewe una twist maneno eti wabongo wana jidai kufika Kenya! Ke na Tz ni jirani sana, its not a big deal kwa raia kusoma au kutembelea hizi each. I can make arrangements uje Dar for a week then maybe uta realize its not a big deal after all.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom