thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Hahaa.. hongereni kwa ushindi. Mchezo wa ma boyz. Mmeeka jitihada sana kwenye grassrootssasa mtanzania anatoka wapi kwa hii mada. watu hawajui chochote ila simba na yanga .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa.. hongereni kwa ushindi. Mchezo wa ma boyz. Mmeeka jitihada sana kwenye grassrootssasa mtanzania anatoka wapi kwa hii mada. watu hawajui chochote ila simba na yanga .
Ndio maana ukiitwa mnafik unatokwa na povu. Waliokukaribisha na kukuelimisha ndio sasa unawachukia. Hapa tunaongea kuhusu raga. Ingieni kiwanjani mtubague wakati tunamenyana hayo mengine kwenye michezo hayatambuliki.I am not a racist but i will do the same to Kenyans no offence. Nime soma na nyie watu seco school ukora mnaujua siyo masikhara. Hapa sileti utani msee, you guys mpo sharp mpaka mmepitiliza. Wasee walikua wana sema ukae radar kila saa, ukizubaa tu una kuta tranker lina cheka. Mpaka mapiroo walikua wanakwapua
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Msee kwani nikisoma na wakenya lazima niwe nimesomea Kenya! Ila nyie watu mnabamba sana na uchizi wenu..Ndio maana ukiitwa mnafik unatokwa na povu. Waliokukaribisha na kukuelimisha ndio sasa unawachukia. Hapa tunaongea kuhusu raga. Ingieni kiwanjani mtubague wakati tunamenyana hayo mengine kwenye michezo hayatambuliki.
For ur info fiji wanakujanga kuplay 7's za kenya, this was jus racism on their side wacha umamaThe first world countries know better. Hao Fiji are not informed that Kenyans are talented thieves. There is a reason why first world countries cant share lockers with you. They read news and some must have first hand experience.
Kama wewe una umama unazani kila mtu anao.. Acha ukora ila usiache kulialiaFor ur info fiji wanakujanga kuplay 7's za kenya, this was jus racism on their side wacha umama
Me niache ukora na wewe uwache umama,Kama wewe una umama unazani kila mtu anao.. Acha ukora ila usiache kulialia
Siulisema wewe mwenyewe kwamba ulisomea Kenya. Au ni nani huwa anakuandikia comments zako hapa Jf?Msee kwani nikisoma na wakenya lazima niwe nimesomea Kenya! Ila nyie watu mnabamba sana na uchizi wenu..
Kuna tofauti kati ya kusoma Kenya na kusoma na wakenya! Kuwa mtulivuSiulisema wewe mwenyewe kwamba ulisomea Kenya. Au ni nani huwa anakuandikia comments zako hapa Jf?
Ukora uta achaje wakati uko kwenye damu! Labda umama una eza acha pole poleMe niache ukora na wewe uwache umama,
Hahaha. 😀 Ulisema ulisomea Machakos, au ni Machakos ya kule Ushelisheli? [emoji38] Rudi kwenye ule uzi wa Happy 420. I never forget, I can even remember what I was doing on this day, 15 years ago.Kuna tofauti kati ya kusoma Kenya na kusoma na wakenya! Kuwa mtulivu
Nimeona ako rada na sheng saii anaruka[emoji23] [emoji23]Hahaha. 😀 Ulisema ulisomea Machakos, au ni Machakos ya kule Ushelisheli? [emoji38] Rudi kwenye ule uzi wa Happy 420. I never forget, I can even remember what I was doing on this day, 15 years ago.
Fiji na Samoa ndo nchi/timu ambazo ziko na wachezaji wengi wa rangi nyeusi... na pia jamaa wakutoka hizi nchi hua wako humble kabisa alafu wako na desturi zengine zinafanana na kabila za kiafrica kwahivyo tukifika kule hua tukikutana nao nje ya uwanja inakua ni kama 'brother from another mother'... South Africa ambayo hua pia inawakilisha Africa lakini wachezaji wao wengi ni wazungu ....The first world countries know better. Hao Fiji are not informed that Kenyans are talented thieves. There is a reason why first world countries cant share lockers with you. They read news and some must have first hand experience.
Wewe kweli pingili inyeeHahaha. 😀 Ulisema ulisomea Machakos, au ni Machakos ya kule Ushelisheli? [emoji38] Rudi kwenye ule uzi wa Happy 420. I never forget, I can even remember what I was doing on this day, 15 years ago.
Hahaha. 😀Nimeona ako rada na sheng saii anaruka[emoji23] [emoji23]
Hahaa.. msee we ni mnoma! Umefukua kabuli.. ila ata humo sikusema nilisoma Kenya. Enyewe murder hii risto [emoji1]
Sawa jombaa acha nikule vako. [emoji38] Wanajopo wataamua wenyewe ulichosema kwenye uzi huo. Wewe pia uache matusi.Hahaa.. msee we ni mnoma! Umefukua kabuli.. ila ata humo sikusema nilisoma Kenya. Enyewe murder hii risto [emoji1]
Hehehe kumbe mko hivyo Wabongo? Yani unadanganya ushawahi somea Kenya kumbe hujawahi ata kanyanga humo lakini mnajifanya kujua Kenya kuliko hata wenyeji. Njia ya muongo ni fupi...mhenga circa 247 A.DHahaa.. msee we ni mnoma! Umefukua kabuli.. ila ata humo sikusema nilisoma Kenya. Enyewe murder hii risto [emoji1]
Hehehe kumbe mko hivyo Wabongo? Yani unadanganya ushawahi somea Kenya kumbe hujawahi ata kanyanga humo lakini mnajifanya kujua Kenya kuliko hata wenyeji. Njia ya muongo ni fupi...mhenga circa 247 A.D
Wewe una dandia train kwa mbele.. pitia maandishi yangu utajua ukweli, i cnt brag kuhusu kusomea Kenya infact nimekua niki kataa ila Pingli nywee ame insist kwa sababu zake mpaka akaleta thread ambayo tulikua tuna jibamba na habari za kuchoma kush. Sasa wewe una twist maneno eti wabongo wana jidai kufika Kenya! Ke na Tz ni jirani sana, its not a big deal kwa raia kusoma au kutembelea hizi each. I can make arrangements uje Dar for a week then maybe uta realize its not a big deal after all.Hehehe kumbe mko hivyo Wabongo? Yani unadanganya ushawahi somea Kenya kumbe hujawahi ata kanyanga humo lakini mnajifanya kujua Kenya kuliko hata wenyeji. Njia ya muongo ni fupi...mhenga circa 247 A.D