Kenya to be the first African country to offer legal backing to the continental free-trade zone

Kenya to be the first African country to offer legal backing to the continental free-trade zone

Its wrong to covet a man's anus.. Take your Gay sexual advances elsewhere..
Eti anus??? Look at what is in your mind mzee. I said a grown man doesn't think like you, maybe a clueless woman. A simple parable makes you advertise yourself? 😀😀😀 Matusi sio lazima utupe ukiishiwa na hoja. Ikikuuma sana kajitie kitanzi.
 
Endeleeni kubishana wakati Majaliwa kashasign hiyo agreement, ilianza kufanyiwa kazi siku nyingi na mwaka huu ndio mwaka wa implementation, bado sijajua details za hii Afcfta in terms of duties & taxes lakini I have several times exhausted and benefited from the SADC free trade zone inasaidia sana kwenye trade (importing in my case, I have won tenders against European & Chinese suppliers because of the SADC exemptions) but you are limited to source within the member states, if Afcfta has similar agreements then my field of sourcing just got bigger!😀😀 (nimejiongelea mwenyewe nitakavyonufaika kibiashara)
 
Ligi mko kileleni lakini tunawapuliwa kisogoni tukingoja mtibwa sugar wachape hata draw tuwavuke.
Hahahaa.. msee kweli unafuatilia! Simba bingwa lazima, Mathare siku izi mlipotea, kuna kipindi mlikua na youth program nzuri sana. Timu kama Sofapaka iliyokua ya kidosi nayo imefifia, wapi Oserian?
 
Hamnaaa!! Nikiwa Bongo mimi huwa shabiki wa hao watoto wa Jangwani...
Hehee ume anzaje kuipenda yanga! ungekua pro Nasa ninge kuelewa kidogo. Simba ndiyo ina ties na Kenya, Jacob "ghost" mulee, James Siang'a, Mark sirengo, shikokoti na wengine kibao wamepita hapo, Yanga hamna zaidi ya Boniface Ambani.
 
Hahahaa.. msee kweli unafuatilia! Simba bingwa lazima, Mathare siku izi mlipotea, kuna kipindi mlikua na youth program nzuri sana. Timu kama Sofapaka iliyokua ya kidosi nayo imefifia, wapi Oserian?
Watu wa Naivasha walilemewa na ligi kuu, Mathare waligeuka kuwa kama Arsenali kuwauza best players to other teams.
 
Watu wa Naivasha walilemewa na ligi kuu, Mathare waligeuka kuwa kama Arsenali kuwauza best players to other teams.
Kuna jamaa yangu anaitwa Njoroge kipindi iko tukiwa wa toyi jamaa alikua ana skills za ajabu.. ali ni ambia alijifunzia mpira kwenye youth program ya Mathare ndiyo nika anza kuifuatilia.. jamaa alikua hana speed ila uki mkaba kifala una ambulia matobo!
 
Hizo youth programs ziliingiliwa na ufisadi ikawa ni kujuana badala ya talanta na ndio sababu kubwa ya soccer Kufeli hapa Kenya na Africa kwa ujumla...Ufisadi hadi michezoni.
 
Back
Top Bottom