Waliosema hivyo hawakusema ili Watanzania wafe. Bali ilikuwa tahadhari. Nyinyi mliwaelewa Wakenya vibaya kabisa. Wakenya wangenyamza ndio ungesema hawajali jirani yao.
Baada ya watu 900 kufa kila siku nchi za ulaya ikiwemo watu weusi kufa zaidi ya wengine kule marekani, bado unaona mrengo Tanzania ilichukuwa ni sawa bila upingamizi wa mtu yeyote wakati huo?
Hivi sasa unaezasema Tanzania haijaathirika lakini wakati huo unataka kuniambia hakuna aliyefaa kuwa na maono tofauti? Kuna hata Watanzania waliokuwa na maono tofauti wakati huo. Tulitangaza Tanzania wapi na ni Wakenya tu ndio wanaongea Kiswahili na Watanzania?
Ujirani mwema ni kukosoana na kusaidiana kwa manufaa ya wote.
Mkinuna kutuuzia korosho tutaenda huko Zambia kuinunua.
Ndio hii hapa korosho mlionuna nayo imekita kwa siasa zenyu
Serikali hainunui korosho bali inasadia masoko | East Africa Television