Kenya to build 50MW solar power plant in Garissa

Huko Garisa kumejaa wasomali si ndio ngome ya Alshabaab.Wataacha kufurumusha makombora huko?
Kila msomali ni alshabaab? Hizi akili za kuazima utazirejesha kwa zero brain mwenzako saa ngapi?
 
Mdau amekuulizia kuhusu cost benefit analysis yako ya hiyo fence hadi uiite nonsense,
And I believe you have facts in your fingertips to defend your claim that the fencing the Mine was Nonsense.
Karibu!
Cost benefit analysis wawape waliojenga
 
People of maneno miiingi with nothing tangible,weka evidence sio blah blah zenu za kila siku kujifsriji
 
Kila msomali ni alshabaab? Hizi akili za kuazima utazirejesha kwa zero brain mwenzako saa ngapi?
Alshaabab wana support kubwa ya wasomali vinginevyo wasingewezakama kukamata baadhi ya maeneo ya Somalia na kufanya mashambulizi watakavyo.Ukweli ingawa mchungu!
 
Alshaabab wana support kubwa ya wasomali vinginevyo wasingewezakama kukamata baadhi ya maeneo ya Somalia na kufanya mashambulizi watakavyo.Ukweli ingawa mchungu!
Unajua tofauti ya Somali na Somalia? Na je unajua Garrissa ipo wapi kwenye ramani ya nchi ya Kenya?
 
Unajua tofauti ya Somali na Somalia? Na je unajua Garrissa ipo wapi kwenye ramani ya nchi ya Kenya?
Mzee povu!! Umeona uje na maswali ili umtishe mtu [emoji1], hayo maswali ya ramani ya nini sasa!! kwani tupo kwa class? Acha umama

Nyie jengeni muwape al shabaab cha kufanya [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mzee povu!! Umeona uje na maswali ili umtishe mtu [emoji1], hayo maswali ya ramani ya nini sasa!! kwani tupo kwa class? Acha umama

Nyie jengeni muwape al shabaab cha kufanya [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kama hoja za hapa Jf zimekulemea bana, mabraza du wenzako wanakungoja kule Instagram mkaendeleze umbea wenu.
 
Wangeweka lami badala ya barabara ya vumbi but all in all good progress.....

hongereni sana

ila wabongo mnaoiponda serikali yenu mnatia aibu hawaa majirani zetu wanachangamoto nyingi kwenye serikali yao ila hawajawahi kukaa nakuibeza hadharani tena kwenye mtandao huu wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…