Hamster255
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 843
- 415
uliza Magu_FOOL-i Commander yaoGarrisa?,Al Shabaab wametoa ruhusa kwa ujenzi kuanza?
La sivyo Kila weekend watakuwa wanakuja kuchukua fee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliza Magu_FOOL-i Commander yaoGarrisa?,Al Shabaab wametoa ruhusa kwa ujenzi kuanza?
La sivyo Kila weekend watakuwa wanakuja kuchukua fee?
Kila msomali ni alshabaab? Hizi akili za kuazima utazirejesha kwa zero brain mwenzako saa ngapi?Huko Garisa kumejaa wasomali si ndio ngome ya Alshabaab.Wataacha kufurumusha makombora huko?
Cost benefit analysis wawape waliojengaMdau amekuulizia kuhusu cost benefit analysis yako ya hiyo fence hadi uiite nonsense,
And I believe you have facts in your fingertips to defend your claim that the fencing the Mine was Nonsense.
Karibu!
People of maneno miiingi with nothing tangible,weka evidence sio blah blah zenu za kila siku kujifsrijiKwa hiyo kwa JPM kuzindua hiyo project ndio it turned useless? The difference occurred so early just after its completion in only three months more than 800 millions tax collected the same period back was less than 40 million tax returns.
So you are stupid
Alshaabab wana support kubwa ya wasomali vinginevyo wasingewezakama kukamata baadhi ya maeneo ya Somalia na kufanya mashambulizi watakavyo.Ukweli ingawa mchungu!Kila msomali ni alshabaab? Hizi akili za kuazima utazirejesha kwa zero brain mwenzako saa ngapi?
Unajua tofauti ya Somali na Somalia? Na je unajua Garrissa ipo wapi kwenye ramani ya nchi ya Kenya?Alshaabab wana support kubwa ya wasomali vinginevyo wasingewezakama kukamata baadhi ya maeneo ya Somalia na kufanya mashambulizi watakavyo.Ukweli ingawa mchungu!
Mzee povu!! Umeona uje na maswali ili umtishe mtu [emoji1], hayo maswali ya ramani ya nini sasa!! kwani tupo kwa class? Acha umamaUnajua tofauti ya Somali na Somalia? Na je unajua Garrissa ipo wapi kwenye ramani ya nchi ya Kenya?
Kama hoja za hapa Jf zimekulemea bana, mabraza du wenzako wanakungoja kule Instagram mkaendeleze umbea wenu.Mzee povu!! Umeona uje na maswali ili umtishe mtu [emoji1], hayo maswali ya ramani ya nini sasa!! kwani tupo kwa class? Acha umama
Nyie jengeni muwape al shabaab cha kufanya [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Uko kwako na yule engineer wenu wa MombasaKama hoja za hapa Jf zimekulemea bana, mabraza du wenzako wanakungoja kule Instagram mkaendeleze umbea wenu.
Uko kwako na yule engineer wenu wa Mombasa
Hiv mbona cc tunajenga 55MW sa hiz kwa jili ya UDOM na Vijiji vingine pembezoni ..sema najua wa Tz wengi hawajui hii habari
Newly constructed 55MW solar power project in Tanzania commissioned
Ila wasifunge JF tena na pia wawezeshe link ya Kenya talk.Kenya kutangulia sio kufika ila aliyefika ndio katangulia. Bongo tunamalizana na demokrasia kwanza
Mpendwa, inafunguliwa lini?
Mpendwa, inafunguliwa lini?