BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Kia in natural death.
Currently there are only two international flights landing. Klm and ethiopian airline.
Ungeweka content ya hilo Gazeti hapa ili tujadili substance!...right?Nimeshtushwa sana na Habari toka kwenye Gazeti la Mwananchi "KIA airport is
likely to be die soon" Me nadhani we need a discussion kwa hili na jinsi ya
kuishauri Serikali yetu what can be done, mimi mwenyewe nimeutumia uwanja wa KIA
siku za usoni, hali yake sio nzuri in terms of Service Delivery na Management
kwa Ujumla, sasa kama Wenzetu watakuwa na uwanja bora na wa Kisasa wa Holili,
Taveta, I can see we are going to die,
Nimeshtushwa sana na Habari toka kwenye Gazeti la Mwananchi "KIA airport is
likely to be die soon" Me nadhani we need a discussion kwa hili na jinsi ya
kuishauri Serikali yetu what can be done, mimi mwenyewe nimeutumia uwanja wa KIA
siku za usoni, hali yake sio nzuri in terms of Service Delivery na Management
kwa Ujumla, sasa kama Wenzetu watakuwa na uwanja bora na wa Kisasa wa Holili,
Taveta, I can see we are going to die,
Heshima kwako Mallaba,
Mkuu watawala wetu wako busy kuilipa Dowans
Bilioni 180 zitakazo jenga uwanja wa kimataifa wa Holili - Taveta ni sawa na zile tunazomlipa RA. Inauma sana. Kumbe tunaweza kujenga wenyewe hata bila fedha ya Wafadhili? Kujenga viwanja vya kimataifa tunahutaji fedha toka kwa Wafadhili, lakini kulipa tozo za kijingajinga tunyo fedha PAMBAFFFFFF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kia?
Kilimanjaro International Airport?
Kwa Wachaga? Wasiotaka utawala wa kifuska wa CCM? unategemea wataboreshewa airport? Sahau!!!
Mpango mzima ni kufanya Arusha kuwa base ya kwenda Mlima Kilimnajaro na kutembelea mbuga za wanyama. do you think polisi walikuwa hawajui walichokuwa wanafanya walipoua raia?
their campaign is to protect arusha by any cost because they know they lost Kilimanjaro to opposition.
changanganya na zako ndugu!!!
Ungeweka content ya hilo Gazeti hapa ili tujadili substance!...right?
Lakini kwa habari nilizosoma mimi ni kwamba KIA iko kwenye hatua za mwisho kuchukuliwa na Mamlaka ya serikali ya Uendeshaji viwanja-Tanzania Airports Authority, baada ya kufanikiwa ku'regain hisa zote 100%.
Reclamation hii inakuja baada ya mwekezaji binafsi aliyekuwa akiushikilia na kuuendesha uwanja huu-Kilimanjaro Airport Development Company [KADCO]kuchemsha vibaya na kuonekana wamekiuka masharti ya mkataba wa Uwekezaji.
Mategemeo yangu ni kwamba TAA wakishaumiliki uwanja huu watauinua na kuurudishia hali yake ya mwanzo, na hivyo utaweza kushindana kirahisi na huo wa Taveta.
Jamani wandugu, siasa si mbaya ila nchi yetu ndo inaitumia siasa vibaya. Ukijaribu kuangalia siasa inatumika hapa kwetu kama kuhalalisha uongo uonekani kuwa ni kweli. Tujaribu kulinganisha nchi yetu na nchi zingine zilizoendelea. Haina maan kwamba wao hawana siasa. Wenzetu wanatumia siasa kuibua na kukosoa mambo mbalimbali. Ndo maana hapa kwetu mtu akianza kuongea saaana anafananishwa na mwana siasa. Kwa maana siasa hapa inafananishwa na kuwa na longolongo nyingi.yaani NGONGO we acha tu , maana hii nchi inaonekana imeshakosa kabisa mwelekeo na priorities.
kila kitu kinafanyika kisiasa tu .
Kuna kitu kinaitwa "FAILED STATE" pengine kinainyemelea Tz.
Jamani wandugu, siasa si mbaya ila nchi yetu ndo inaitumia siasa vibaya. Ukijaribu kuangalia siasa inatumika hapa kwetu kama kuhalalisha uongo uonekani kuwa ni kweli. Tujaribu kulinganisha nchi yetu na nchi zingine zilizoendelea. Haina maan kwamba wao hawana siasa. Wenzetu wanatumia siasa kuibua na kukosoa mambo mbalimbali. Ndo maana hapa kwetu mtu akianza kuongea saaana anafananishwa na mwana siasa. Kwa maana siasa hapa inafananishwa na kuwa na longolongo nyingi.