Kenya to commence phase two upgrade of Kibra slum

Bwahahaaaa...fire man, inspectoriate, driver...

Km hzo kwenu ni high end jobs sawa[emoji23][emoji23]
Ila usijali...
Hku mtu akishamaliza kusoma hajisumbui kuzamia mjini...kw sababu county kazi zipo, so itategemea na utenda kazi wa gavana tu

Namba hazidanyi, Kenya inakuwa kwa 5-6%, hiyo haitoshi kuzalisha hizo ajira unazoziongelea, isitoshe ni watu wangapi wa Kibera wanaoweza kuapply hizo kazi ulizoweka?
 
Heheheeee!!!nimekudunga sindano mpka una haha...
Kibera gavana wa nairobi atajipanga km atatengeneza vipi ajira...
Mimi nahangaika na ajira za county yetu
 
OK Kila la Heri na Kaunti yako!
 
Heheheeee!!!nimekudunga sindano mpka una haha...
Kibera gavana wa nairobi atajipanga km atatengeneza vipi ajira...
Mimi nahangaika na ajira za county yetu
Sio ninyi juzi serikali yenu imefunga kutoa ajira mpya na kupandisha Mishahara kwa miaka miwili mbele?
 
nimekusoma ukijinadi kwamba ajira zipo kwenye serikali zenu za counties kila mahali ndio maana nakuuliza hilo swali!
Kila county ina bajeti yake, na ina uhuru wa kujiamulia vitu...
Kuna watu wameajiriwa county na wanapiga hela ndefu sana, mitaani wanapeta tu..
 
Ajira zipo, tena nyingi sana, kizungumkuti ni pale mkipata gavana mpigaji...so lazima atawakwamisha, lkn ajira zipo tu
 
LOL kwa taarifa yako mnacho kiita County mlikuja Tanzania kujifunza na ndio kinachoitwa huku serikali za mitaa, huku zipo toka Uhuru so hakuna unachoweza nidanganya kwenye hilo.
 
Hakuna ajira governor anatoa, ajira za kwenye County zinatolewa na serikali Kuu, County ina guarantee tuu, mfano ajira kama za manesi, madaktari, walimu na watendaji wengine wanapewa hizo nafasi kuendana na wizara zao kama wizara ya afya, elimu, maji, etc na hizo wizara zipo serikali kuu

Na Mishahara yao inatoka treasury ambapo na penyewe ni serikali Kuu hakuna treasury ya County, County inapeleka mahitaji ya wafanyakazi serikali Kuu inatoa kibali cha ajira, juzi serikali Kuu yenu imesema haiajiri wala kupandisha Mishahara kwa miaka miwili mbele so hakuna serikali ya county inaweza kufanya hapo.
 
Ishu za watu kizamia mjini kenya sai imebaki story...
Jiuluze kwnn katiba iko na counties, sai wanaozamia mijini idadi yao ndogo sana...
Sai kila county iko na opportunities kibao za kazi za kila aina...

Mambo ya uzamiaji siku hz yamepungua sana...
Nimesoma issues nyingi za @kamora096 kila akiandika ni issue ya County ...county... no wonder atakuwa ni local conty clerk hapo Naivasha....please get out of confinement! And build your case in various thread!
 
Heheeee!!!imekuingia sio
 
Hakuna ajira governor anatoa, ajira za kwenye County zinatolewa na serikali Kuu, County ina guarantee tuu, mfano ajira kama za manesi, madaktari, walimu na watendaji wengine wanapewa hizo nafasi kuendana na wizara zao kama wizara ya afya, elimu, maji, etc na hizo wizara zipo serikali kuu

Na Mishahara yao inatoka treasury ambapo na penyewe ni serikali Kuu hakuna treasury ya County, County inapeleka mahitaji ya wafanyakazi serikali Kuu inatoa kibali cha ajira, juzi serikali Kuu yenu imesema haiajiri wala kupandisha Mishahara kwa miaka miwili mbele so hakuna serikali ya county inaweza kufanya hapo.
Hivi unajiskia kwanza.nani kakwambia km walimu wapo under county government[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
County goverment pia zina wizara zake, utaumia sana kujifanya unaijua kenya kumbe huijui...mwenzako kakimbia, bado wewe sasa nikupe dose
 
LOL eti County zina wizara! County assembly sio wizara brother naona haya mambo yanakupiga ngeu
 
LOL kwa taarifa yako mnacho kiita County mlikuja Tanzania kujifunza na ndio kinachoitwa huku serikali za mitaa, huku zipo toka Uhuru so hakuna unachoweza nidanganya kwenye hilo.
Maskini...nionyeshe bunge la serikali za mitaa na wabunge wa hzo serikali za mitaa
 
Huku linaitwa baraza la madiwani, hao ndio hupitisha budgets zote za halmashauri zao na hukutana kwenye assembly kama wabunge wanavyokutana na pia huchaguliwa sanjari na wabunge na Rais
 
Hvyo vitu tulifanya kitambo...
Wakati wa ma coucillors, umeona km hatufanani
 
LOL muite council muite County muite federal muite senate haibadilishi ukweli kwamba hakuna wizara kwenye County wala hakuna ajira inayotelewa na governor.
 
Back
Top Bottom