Kenya to commence phase two upgrade of Kibra slum

LOL muite council muite County muite federal muite senate haibadilishi ukweli kwamba hakuna wizara kwenye County wala hakuna ajira inayotelewa na governor.
Haina haja nikupeleke mbali
Umeelewa nn hapo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
20191116_133033.jpeg
 
My friend umeelewa kwel hicho nilichokuletea jamani...huyo mwanamke alikua acting na bado akatolewa..

Hat matiangi asahwai kuwa acting katika wizara ya elimu...hicho ni kitu cha kawaida sana

Baadhi ya mawaziri walioteuliwa na gavana sonko
[/URL]
OK let make this simple

Niletee majina 21 ya mawaziri waliopo kwenye County ya Nairobi kwanza kisha niletee majina 21 kwenye kila County moja katika County 47

Kisha sasa niletee majina ya mawaziri 21 kwenye Central government yenu

Hapo tutaenda sawa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona umeanza kupata somo...kukuletea majina ya mawaziri wote kila county uongo..hyo ni kazi ya kimbweha, en google is your friend...

Nitajie county yyte nikuleteemajina ya mawaziri
 
LOL

Madai yako ni kwamba mna mawaziri kwenye kila County

Kenya ina County 47
Mawaziri 21

47 mara 21 = 987 + 21 Central government ministers

Kwa hiyo Kenya ina jumla ya mawaziri 1008

Wewe lazima utakua na matatizo ya ufahamu na ndio maana nakuulizaga umri wako.
 
Kenya haina mawaziri 1008..
Hayo madai ni yako...

Ukwel ni kwamba counties pia zina wizara zake..una la ziada..

Nitajie county moja nikuletee wizara zake mpka mawaziri
 
Nitajie idadi ya wizara kwenye County
 
Back
Top Bottom