Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Good afternoonKulikoni???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good afternoonKulikoni???
Huu ni ubishi wa kijinga na wakitoto, kwa hiyo Data yoyote inayotoka Tanzania inayoonyesha Tanzania ipo juu ya Kenya unaipinga bila kuwa na evidence. Kumbuka TBS inashika namba tatu kwa ubora Africa, wakati Kenya statistics Beural(KSB),"Sina uhakika kama nimeipatia" is one among the worsts in Africa.Wacha nikwambie. The day you Tanzania stop counting wauza njugu and wachoma mahindi as employed, your unemployment figures will rise to 70%.
Here in Kenya, the numbers you get are for those in formal or some kind of verifiable informal employment.
Lakini the truth is, and I would bet on this, a bigger percentage of Kenyans than Tanzanians make a livable income one way or another.
Hovyo sana huyu jamaa. Ila huyu ni mfano mzuri sana wa uongozi wa Jubilee, they don't like to listen to alternative ideas, Davidii Ndii has been telling them honestly.They Guy has no grasp of anything..I think he is here just to argue
Mambo ya public vs private companies imepigwa debate kwa miaka mingi. Kwa msingi watu wengi duniani wanakubaliana kwamba nchi ambayo bado inakuwa ( Yaani Ldc au Mic) lazima zizingatie employment ya watu wake ili kuzuia massive unemployment ambayo italeta janga katika nchi. Kenya kwa sasa ina janga kubwa la unemployment na sijui kwa nini watu bado wanataka kuleta janga zaidi. Ukiongeza corruption sugu iliyo Kenya, unapata watu wengi wanaishi maisha ya kuhurumiwa. Responsibility ya Serikali ya kwanza ni kuongeza employment. Donald Trump wiki iliyopita alikuwa anazunguka kwenye kampeni akijipiga kifua jinsi ameongeza employment Marekani. Wazungu wanajua employment ndio kitu ya muhimu katika uchumi wao. Hapa Afrika wengine wetu hatujali maslahi ya wananchi wenzetu. Nilipokuwa nikisoma uchumi ndipo nilipopenda system iliyochanganya capitalism na socialism kwani capitalism ikiwa pekee yake ni hatari mno, haijali masikini hata kidogo. Ni lazima serikali iingilie kati na kusaidia masikini na socialist system kwa kawaid ndio inayojali maslahi ya masikini. Ukichanganya uzuri wa capitalism (efficiency na innovation) na uzuri wa socialism (upendo wa watu na utu) unapata hybrid system inayotengeneza pesa na kuvumbua teknolojia mpya huku ikijali maslahi ya kila mtu ikiwemo masikini. Mfano mzuri tu ni scandinavian countries kama Norway, Sweden au Denmark. Tanzania pia kwa kiasi fulani mna hii system ingawa serikali haina pesa nyingi kama scandinavian countries. Mimi mwenyewe ninasoma katika chuo kikuu katika nchi ya E.U ambako chuo kikuu ni bure bilashi. Watu wazee huku pia hupewa malipo ya wazee. Masikini wote hupewa pesa ya chakula. Hata Marekani ambayo ni pure capitalism, masikini wao hupewa food stamps, yaani chakula ya bure. Sisi Kenya ambao tunajaribu kufuata mfumo wa Marekani wa capitalism hata hatuwezi lisha masikini wetu. Marekani unemployment iko 4% lakini sisi Kenya ambao tunajaribu kukimbizana na Marekani katika mfumo wa capitalism tuna unemployment ya 40% (mara kumi ya Marekani). Capitalism inawasaidia wazungu, capitalism inaumiza mwafrika. Tunahitaji capitalism ichanganywe na socialism ndio ifanye kazi hapa Afrika.Huyu jamaa anajua ukweli lakini hataki kuonekana ameshindwa na Tanzania. Nimemuambia Tanzania tulibinafsisha kila kitu kipindi cha Mkapa tukabakisha chupi zetu pekee, yaliyotukuta tulijuta sana na kusaga meno, sasa hivi tunarudisha mashirika yote tuliyoyauza ambayo hayakufanya vizuri, tuligundua makosa na tumerekebisha.
Sasa hivi chini ya uongozi wa uncle Magufuli, hamuangalii mtu kwa huruma, mashirika karibu yote yanafanya vizuri sana na yanatoa dividend kwa serikali, kwanini msije kujifunza makosa tuliyofanya badala yake mnafanya kivyenu tu?.
Nisingeweza kuandika zaidi ya hivi[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mambo ya public vs private companies imepigwa debate kwa miaka mingi. Kwa msingi watu wengi duniani wanakubaliana kwamba nchi ambayo bado inakuwa ( Yaani Ldc au Mic) lazima zizingatie employment ya watu wake ili kuzuia massive unemployment ambayo italeta janga katika nchi. Kenya kwa sasa ina janga kubwa la unemployment na sijui kwa nini watu bado wanataka kuleta janga zaidi. Ukiongeza corruption sugu iliyo Kenya, unapata watu wengi wanaishi maisha ya kuhurumiwa. Responsibility ya Serikali ya kwanza ni kuongeza employment. Donald Trump wiki iliyopita alikuwa anazunguka kwenye kampeni akijipiga kifua jinsi ameongeza employment Marekani. Wazungu wanajua employment ndio kitu ya muhimu katika uchumi wao. Hapa Afrika wengine wetu hatujali maslahi ya wananchi wenzetu. Nilipokuwa nikisoma uchumi ndipo nilipopenda system iliyochanganya capitalism na socialism kwani capitalism ikiwa pekee yake ni hatari mno, haijali masikini hata kidogo. Ni lazima serikali iingilie kati na kusaidia masikini na socialist system kwa kawaid ndio inayojali maslahi ya masikini. Ukichanganya uzuri wa capitalism (efficiency na innovation) na uzuri wa socialism (upendo wa watu na utu) unapata hybrid system inayotengeneza pesa na kuvumbua teknolojia mpya huku ikijali maslahi ya kila mtu ikiwemo masikini. Mfano mzuri tu ni scandinavian countries kama Norway, Sweden au Denmark. Tanzania pia kwa kiasi fulani mna hii system ingawa serikali haina pesa nyingi kama scandinavian countries. Mimi mwenyewe ninasoma katika chuo kikuu katika nchi ya E.U ambako chuo kikuu ni bure bilashi. Watu wazee huku pia hupewa malipo ya wazee. Masikini wote hupewa pesa ya chakula. Hata Marekani ambayo ni pure capitalism, masikini wao hupewa food stamps, yaani chakula ya bure. Sisi Kenya ambao tunajaribu kufuata mfumo wa Marekani wa capitalism hata hatuwezi lisha masikini wetu. Marekani unemployment iko 4% lakini sisi Kenya ambao tunajaribu kukimbizana na Marekani katika mfumo wa capitalism tuna unemployment ya 40% (mara kumi ya Marekani). Capitalism inawasaidia wazungu, capitalism inaumiza mwafrika. Tunahitaji capitalism ichanganywe na socialism ndio ifanye kazi hapa Afrika.
Let nobody lie to you that KPC is making a loss. Infact the impression that Kenya pipeline is making a loss is not true. Despite all the corruption, Kenya pipeline made more than 8 billion shillings profit in 2017. So why privatise this company?Shameless cherry picking.. 46pc of SMEs fail in the first year in kenya and many more after the 3rd year - those are thousands in numbers 46pc of Kenya's SMEs close within a year of founding - Capital Business
As I said, the problem with profitability is Management issues and Market dynamics
These parastatals you have listed here have a similiar problem..They are run by incompetent political appointees. Fix That and the companies will rake in tidy profits and remit healthy divided to GoK simple.
Should safaricom's managent be replaced by Ruto's illitrate relatives, it would be rife with corruption like KPC.
Privitisation is a form of "escapism" where you dont want to address the real problem and instead find a bogie man to blame -The govenment shareholding
naunga mkono hoja yakoMambo ya public vs private companies imepigwa debate kwa miaka mingi. Kwa msingi watu wengi duniani wanakubaliana kwamba nchi ambayo bado inakuwa ( Yaani Ldc au Mic) lazima zizingatie employment ya watu wake ili kuzuia massive unemployment ambayo italeta janga katika nchi. Kenya kwa sasa ina janga kubwa la unemployment na sijui kwa nini watu bado wanataka kuleta janga zaidi. Ukiongeza corruption sugu iliyo Kenya, unapata watu wengi wanaishi maisha ya kuhurumiwa. Responsibility ya Serikali ya kwanza ni kuongeza employment. Donald Trump wiki iliyopita alikuwa anazunguka kwenye kampeni akijipiga kifua jinsi ameongeza employment Marekani. Wazungu wanajua employment ndio kitu ya muhimu katika uchumi wao. Hapa Afrika wengine wetu hatujali maslahi ya wananchi wenzetu. Nilipokuwa nikisoma uchumi ndipo nilipopenda system iliyochanganya capitalism na socialism kwani capitalism ikiwa pekee yake ni hatari mno, haijali masikini hata kidogo. Ni lazima serikali iingilie kati na kusaidia masikini na socialist system kwa kawaid ndio inayojali maslahi ya masikini. Ukichanganya uzuri wa capitalism (efficiency na innovation) na uzuri wa socialism (upendo wa watu na utu) unapata hybrid system inayotengeneza pesa na kuvumbua teknolojia mpya huku ikijali maslahi ya kila mtu ikiwemo masikini. Mfano mzuri tu ni scandinavian countries kama Norway, Sweden au Denmark. Tanzania pia kwa kiasi fulani mna hii system ingawa serikali haina pesa nyingi kama scandinavian countries. Mimi mwenyewe ninasoma katika chuo kikuu katika nchi ya E.U ambako chuo kikuu ni bure bilashi. Watu wazee huku pia hupewa malipo ya wazee. Masikini wote hupewa pesa ya chakula. Hata Marekani ambayo ni pure capitalism, masikini wao hupewa food stamps, yaani chakula ya bure. Sisi Kenya ambao tunajaribu kufuata mfumo wa Marekani wa capitalism hata hatuwezi lisha masikini wetu. Marekani unemployment iko 4% lakini sisi Kenya ambao tunajaribu kukimbizana na Marekani katika mfumo wa capitalism tuna unemployment ya 40% (mara kumi ya Marekani). Capitalism inawasaidia wazungu, capitalism inaumiza mwafrika. Tunahitaji capitalism ichanganywe na socialism ndio ifanye kazi hapa Afrika.
Jamaa yupo vizuri sananaunga mkono hoja yako
Huu ni ubishi wa kijinga na wakitoto, kwa hiyo Data yoyote inayotoka Tanzania inayoonyesha Tanzania ipo juu ya Kenya unaipinga bila kuwa na evidence. Kumbuka TBS inashika namba tatu kwa ubora Africa, wakati Kenya statistics Beural(KSB),"Sina uhakika kama nimeipatia" is one among the worsts in Africa.
Kumbuka hizi data zinatolewa na UN bodies baada ya kuwa verified internationally, mbona hukatai data zingine zinazotolewa na TBS zinazoiweka Tanzania nyuma ya Kenya?, hovyo kabisa wewe, umeanza kupanic baada ya kuona Kenya mambo mengi yanaharibika na Tanzania mambo yanakuwa mazuri daily, umeanza kurusha mikono hewani, kweli kuna watu na VIATU.
Yes, Making profit by overcharging consumers while management steals billions for themselves and their political godfathers to the tune of 70bn.Let nobody lie to you that KPC is making a loss. Infact the impression that Kenya pipeline is making a loss is not true. Despite all the corruption, Kenya pipeline made more than 8 billion shillings profit in 2017. So why privatise this company?
Kenya Pipeline’s net profit up 16pc on fuel earnings
Kenya Pipeline’s net profit up 16pc on fuel earnings
THURSDAY, MAY 18, 2017 19:07
Kenya Pipeline Company’s depot in Eldoret. FILE PHOTO | NMG Kenya Pipeline Company’s depot in Eldoret. FILE PHOTO | NMG
Kenya Pipeline Company’s (KPC) net profit for 2016 jumped 16 per cent lifted by higher fuel supply earnings.
The parastatal’s net profit increased to Sh8.4 billion from Sh7.2 billion posted in the previous financial year.
“The company’s growth has been underpinned by strategic initiatives around prudent cost management and efforts to enhance fuel supply in Kenya and the region,” said managing director Joe Sang.
KPC overall recorded a marginal two per cent growth in fuel transport volumes to 5.9 million metric tonnes from 5.7 million metric tonnes in 2014/15.
On the domestic front, fuel transport volumes rose by seven per cent from 2.9 million metric tonnes to 3.1 million metric tonnes. However, the export volumes decreased by three per cent to 2.7 million metric tonnes from 2.8 million metric tonnes.
The decrease is attributed to loss of transit volumes on the Central Corridor. Revenue from transportation of fuel increased to Sh23 billion in the year under review from Sh21.4 billion in the previous year.
Mr Sang said the company is working hard to reclaim lost market share.
“KPC in April introduced a promotional tariff on all transit products in all our western Kenya depots, which is expected to improve our market share in the regional petroleum trade,” he said.
Total operating expenditure decreased by 7.5 per cent to Sh11.9 billion from the previous year’s Sh 12.8 billion.
KPC chairman John Ngumi said the company plans to expand into the wider East and Central African region, as well as its business model.
Shameless cherry picking.. 46pc of SMEs fail in the first year in kenya and many more after the 3rd year - those are thousands in numbers 46pc of Kenya's SMEs close within a year of founding - Capital Business
As I said, the problem with profitability is Management issues and Market dynamics
These parastatals you have listed here have a similiar problem..They are run by incompetent political appointees. Fix That and the companies will rake in tidy profits and remit healthy divided to GoK simple.
Should safaricom's managent be replaced by Ruto's illitrate relatives, it would be rife with corruption like KPC.
Privitisation is a form of "escapism" where you dont want to address the real problem and instead find a bogie man to blame -The govenment shareholding
Unaona unavyojichanganya, unasema how businesses are running to Dar port, is Dar port privatized?, why then businesses to run to Dar port which is public institution?
Ndio sababu nikasema unaleta arguments za kitoto, leta ushahidi kuonyesha kwamba TBS ilisema Tanzania unemployment rate ni 3%.Kenya iko na a higher number of middle class. Hio ni very easy to verify.
Huwezi tena niambia kwamba Tanzania wako more employed kuliko Kenya.
Hio TBS unaongea kuhusu si ndio ilisema kwamba unemployment yenu ni 3%.
Kwani mmekuwa ulaya?
Sasa kama hujaiverify its truthfulness why do you bring here to support your argument, because you have used it to show that KPA is not doing well at the moment that's why businessmen are running to Dar Port. Stop changing goal posts.Naongea kuhusu news articles. Didn't comment to its truthfulness.
The same case nikitafuta news articles za Dar port, ambayo ni ya serikali, nitapata mashida chungu nzima.
Kenya kwa sasa ina janga kubwa la unemployment na sijui kwa nini watu bado wanataka kuleta janga zaidi. Ukiongeza corruption sugu iliyo Kenya, unapata watu wengi wanaishi maisha ya kuhurumiwa. Responsibility ya Serikali ya kwanza ni kuongeza employment. Donald Trump wiki iliyopita alikuwa anazunguka kwenye kampeni akijipiga kifua jinsi ameongeza employment Marekani
Boss business is business..The vagaries of capital, management and Market dynamics face SMES as well as big corporations and parastatals. There are so many big business that have failed like nakumatt, Yana tires, Accesskenya, chasebank, imperial bank et al..And all these failures are due to either market dynamics, working capital or mis management..SME = Small and Medium Sized Enterprises.
Which of those companies fall in this category according to you?
Small companies world over face the risk of failure. In the US, that number is thought to be 50% of small businesses failing in the first year.
But when a company reaches certain levels, and then it is still facing fears of collapse every year, what are we talking about.
As long as the presidency is a political office, appointments will always be political.
Nobody will ever rise to the presidency without owing favors. This cannot be fixed unless by taking away the responsibility of appointing from the president/government.
Even if somehow the president appoints a professional, the constant pressure of performing and answering to your shareholders does not exist.
And in some cases political pressure to do things that are detrimental to the company.
If Safaricom remained a government-run enterprise, it would be no better than your own under-performing telcos.
Ndio sababu nikasema unaleta arguments za kitoto, leta ushahidi kuonyesha kwamba TBS ilisema Tanzania unemployment rate ni 3%.
Kama utatumia hivyo kuhusu middle class, kama kweli Kenya ina middle class kubwa, why many people live in slums, why Kenya still needs food aid, why majority of Kenyans without safe water.
Soma uone TBS inavyofanya vizuri Africa, sio hiyo yenu inapika data za uchumi wenu wakati on the ground reality is completely opposite
Tanzania Excels in Statistical Capacity among Sub-Saharan African Nations
Boss business is business..The vagaries of capital, management and Market dynamics face SMES as well as big corporations and parastatals. There are so many big business that have failed like nakumatt, Yana tires, Accesskenya, chasebank, imperial bank et al..And all these failures are due to either market dynamics, working capital or mis management..
Privitisation is escapism..Akin to a sick person who instead of taking medicine that the doctor has recommended, goes to a witchdoctor who tells him that his sickness is because of his ancient grandfather.
Its good you acknoledge the problem with political interference by business intrests in kenya's politics. That is the main problem and the reason for bad public policy..Uhuru is in power to serve the intrests of his family business and his rich friends not Kenyans
Sasa kama hujaiverify its truthfulness why do you bring here to support your argument, because you have used it to show that KPA is not doing well at the moment that's why businessmen are running to Dar Port. Stop changing goal posts.