MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
So kama wamekamatwa tunafanyaje,mid income unapigwa hadharani kwa ajili ya njaa!
Mbona Tanzania nchi ya asali na maziwa huwa mnatembezwa kungfu na Wachina tena kwenye migodi yenu, hehehe!! Soma hizi taarifa hadi waziri ikamlazimu kungilia kati
Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.