Kenya to start importing wheat from USA

So kama wamekamatwa tunafanyaje,mid income unapigwa hadharani kwa ajili ya njaa!

Mbona Tanzania nchi ya asali na maziwa huwa mnatembezwa kungfu na Wachina tena kwenye migodi yenu, hehehe!! Soma hizi taarifa hadi waziri ikamlazimu kungilia kati
 
Wachina wenyewe wamekamatwa na polisi. Soma habari wacha kuzubaa zubaa tu.

Hawa Watz hupigwa sana na Wachina, wasijisifu humu
 
Yaani badala ya yeye ndio aje Kenya kutafuta soko la mazao yake eti maloan ndio anaenda marekani kuwatafutia wa marekani soko Kenya...hii imekaaje
hii,
Africa hii 😂😂😂
 
and they are not just words boy,those are terminologies we use in econ to gauge productivity,things you wouldnt understand
People need food not terminology, you are very good in changing terminologies, from New and the best constitution, BBI, Tangatanga, Kieleweke and so many others, but all can't help when Kenyans are dying of hunger yearly. Stop your stupidity for a while and help your brothers and sisters who are in their death beds because of hunger
 
Ya Dewj na Azania zinatoka wapi ??

Zile tiper zake zinazoendaga bandarini hua zinaenda kuchua nini ? Na vile vinu vyake(azam) bandarini kule hua anashushia mzigo gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Azam ni mfanyabiashara mkubwa sana hapa Afrika, huwa anaagiza mali ghafi sana toka nje, pia anasafirisha malighafi toka hapa Tanzania kwenda katika viwanda vyake vilivyopo nchi za nje, kwa mfano, kwa mwaka mmoja anaingiza tani nyingi sana ya za sukari ya viwandani toka nje, 5-10% ya ngano yake hutoka nje ya nchi, pia huchukua tenda ya kuagiza baadhi ya vyakula katika kipindi ambacho Tanzania inakumbwa na upungufu wa vyakula kama mahindi, mchele na Sukari, japo ktk miaka ya karibuni hatujapata tatizo la chakula isipokua Sukari pekee.
 
Kikwete na Mkapa wote wapo Kenya na huku wewe unaongea matope kuhusu Kenya. Hata wanamuziki wenu wanashinda huku kila siku. Wewe unaona tu eti tuna njaa. Sisi tunawakaribisha Watz kwa upendo lakini nyie ni matusi tu.
 
Kikwete na Mkapa wote wapo Kenya na huku wewe unaongea matope kuhusu Kenya. Hata wanamuziki wenu wanashinda huku kila siku. Wewe unaona tu eti tuna njaa. Sisi tunawakaribisha Watz kwa upendo lakini nyie ni matusi tu.
sasa kwenye msiba wa dictator Moi hutaki waje kuzika?
 
Waje tu, mimi sina shida ila matusi mpunguze jamani.
Matusi yapi? Unajua Moi si vile kama mnavyomdhani nyie! Hana taswira nzuri nje ya Kenya sasa msilaumu watu kutochukulia umuhimu msiba wake!
 
Matusi yapi? Unajua Moi si vile kama mnavyomdhani nyie! Hana taswira nzuri nje ya Kenya sasa msilaumu watu kutochukulia umuhimu msiba wake!
Moi alikuwa dikteta kama tu Magufuli, tena kesho atapozikwa wakenya walio wengi na wale ambao walidhulumiwa naye wataenjoy sio siri. Aliwatesa wakenya kwa miaka 24 akipigwa jeki na kusifiwa na chama chake cha KANU. Yaani ndio yale yale ambayo mnafanyiwa na Jiwe na chama chenu cha CCM.
 
Bado mnaexport minofu Qatar ama uhaba was ndege na hofu za ndege kukamatwa zilididi? Maji yalizidi unga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…