MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
But thats Bullshit, Kenya inazalisha < 2 000 MW za umeme, wakati ina watu zaidi ya milioni 45, huo ni umeme mdogo sana na hauwezi kufanya chochote.
Vuvuzela zako hizi tumezoea, sisi tunajivunia kwenye hatua yetu, mzungu alijenga Afrika Kusini na akagoma kuondoka, ila sisi tunaijenga nchi yetu wenyewe tofali kwa tofali hivyo tuna haki ya kusheherekea mafanikio yetu kwa kila hatua. Nyie liinchi lote hilo lenye kila kitu halafu hata nusu yenu hamjaunga kwenye umeme halafu unataka tujadili mambo ya Afrika Kusini.