Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

Wacha upumbavu. Go download the PDF provided with 2019 figures.
The website is talking of 2017 figures.
Very stupid of you! Download wewe halafu weka hapa ! Au unawashwa na kwahiyo unatafuta basha kwa nguvu?! Situmi kisamvu cha kopo, mpumbavu mkubwa wewe!!
 
Enyewe ni kweli wamekaliwa. Nilisikia ilibidi wapigane mangumi na Malawi ili heshima ipatikane.
Anko unaweza nambia lini tz alipgana ngumi na Malawi??? Au ushawai sikia watz hawavui lake Nyasa ?? Na hiyo unasema wametukalia ni lini..
Dawa yenu ipo motoni manina..wasomali wanashinda kesi afu tuone ka mtakua na baharii.. Kifupi time will tell
 
Tangu najitambua hadi leo sijawah kuishi nyumba ya Giza sio kijijini kwa mshua Au mjini nilipokulia naweza sema wa baadhi ya maeneo suala la umeme barabara na maji sio tatizo kabisa ila yapo maeneo hizi kwao ni story tu...
Inashangaza kuona mtu akifurahia umeme au maji ya bomba kwamba ndio kitu kipya kwao katika eneo fulani...inasikitisha sana tu
 
Tunazalisha zaidi ya 2,500 MW. matumizi ndio yako 1,800 MW. Nyie mnazalisha chini ya 1,800 MW matumizi yako chini ya 1,300 MW.
TZ Matumizi yako zaidi ya 1350MW sio chini get your facts right,capacity ni 1560MW
 
TZ Matumizi yako zaidi ya 1350MW sio chini get your facts right,capacity ni 1560MW
That was before addition of 80mw from kinyrezi two which was already cobtributing 167mw to the grid

Kinyrezi 1 extension will add 185mw from september this year

We will also get 27mw when rusumo falls will be done
 
185MW umeme mwingi unatosha kusukuma train zile
 
Very stupid of you! Download wewe halafu weka hapa ! Au unawashwa na kwahiyo unatafuta basha kwa nguvu?! Situmi kisamvu cha kopo, mpumbavu mkubwa wewe!!

Wacha vurugu. Ukisema kwamba figure ni za uongo, na wewe mwenyewe umekataa kusoma ripoti, unaona kama uko na akili kweli?
Stupid.
Kazi yangu sio kukuletea ripoti hapa. Mwanzilishi wa uzi alifanya hivo. If you doubt the figures, go read the PDF then comment.
 
We mse'nge tu mbwa wewe! Figure zipi nimesema za uongo kama sio nimezungumzia contradiction ya habari iliyoandikwa na The Daily Nation?! Kuna mahali umeona nime-discredit figures za World Bank?! Hata hiyo link uliyonipa nilishaweka figure yake ambayo imekaribiana sana na figure iliyotokana na projection niliyoifanya mimi lakini ikiwa imetofautiana kabisa na figure iliyotolewa na Nation na ndipo nikahoji Daily Nation wametoa wapi hiyo figure!

Na hata ukiangalia malengo yaliyotolewa na Kenya Power by 2020; figure yake hailingani na ya Daily Nation though not necessary kama Daily Nation wangekuwa wame-cite a reliable source!!

Sasa wewe badala ya kusoma nukta kwa nukta; unakurupuka from nowhere na kuanza kutukana! Usipende shari unless kama unaziweza shari! Unajifanya kujua wakati mpumbavu tu!
 
Back
Top Bottom