Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

But thats Bullshit, Kenya inazalisha < 2 000 MW za umeme, wakati ina watu zaidi ya milioni 45, huo ni umeme mdogo sana na hauwezi kufanya chochote.

Vuvuzela zako hizi tumezoea, sisi tunajivunia kwenye hatua yetu, mzungu alijenga Afrika Kusini na akagoma kuondoka, ila sisi tunaijenga nchi yetu wenyewe tofali kwa tofali hivyo tuna haki ya kusheherekea mafanikio yetu kwa kila hatua. Nyie liinchi lote hilo lenye kila kitu halafu hata nusu yenu hamjaunga kwenye umeme halafu unataka tujadili mambo ya Afrika Kusini.
 


Muzungu anaingiaje hapa? Isitoshe Kenya imeongeza MW ngapi kuacha zile alizoacha Muzungu miaka 50 iliyopita? Na Je, Malaysia pia ni Muzungu amejenga? Mambo mengine ni ya kukaa kimya tu na kuendelea kupiga kazi, lkn kujisisfu nchi nzima kuzalisha chini ya 2 000MW siyo sawa.
 

Megawatts mingi za Afrika Kusini huenda kwa mining. Jibu umepata.
Kenya hatuna large mining operations, kwa hivyo consumption yetu mingi ni small consumers.
 
Megawatts mingi za Afrika Kusini huenda kwa mining. Jibu umepata.
Kenya hatuna large mining operations, kwa hivyo consumption yetu mingi ni small consumers.


Hata Kenya pia sehemu kubwa ya hiyo 1 800 MW inayozalishwa inakwenda kwenye mining pia kama Magadi soda, cement production, gold, minerals nyingine, oil production, Viwandani n.k. na sehemu ndogo sana ya hiyo 1 800 MW ndiyo hutumiwa na watu ambao labda wanawasha tu incandenscent bulb kumulika nyoka na mwizi.
 

Ahaaa haaa haaa
Feel good story.
But your country men are perishing for hunger.
 
Hata Kenya pia sehemu kubwa ya 1800 MW inazalishwa inakwenda kwenye mining pia kama Magadi soda, cement production, Viwandani n.k. na sehemu ndogo sana ya hiyo 1 800 MW ndiyo hutumiwa na watu ambao labda wanawasha tu incandenscent bulb

Lol. Unaongea kuhusu mining companies mbili. Kenya hatuna madini.
Mining in South Africa is a $40 billion a year industry. Here in Kenya I don't think its even $1 billion a year.
 
Lol. Unaongea kuhusu mining companies mbili. Kenya hatuna madini.
Mining in South Africa is a $40 billion a year industry. Here in Kenya I don't think its even $1 billion a year.


Na hilo la AK na Muzungu pia kwamba Kenya haifanyi mining?
 
Hyo 32.8% ni 2016 ..Three years zimepita ..na mwaka huo huo ilikuwa 56% for Kenya ..mstuletee habari zenu updated ..mna compare na Tz ya 2016
 
Reactions: Oii

Huko Malaysia unafuata nini, tunazungumza vya hapa hapa EAC, wacha kutumia vitu vya nchi za watu kujisifia.
Mzungu aliijenga Afrika Kusini na mpaka sasa yupo anaijenga, sisi wazee wetu walipokezwa uongozi bila ya kujua pakuanzia maana hawakua wamesoma, hakukua na miundo mbinu ya maana, ila taratibu tumeijenga hadi hapo tulipo kama kiongozi Affrika mashariki na Kati, tumewazidi mataifa yote ukanda huu, nyote LDC ilhali hatuna madini na ardhi yetu ndogo sana.
 
Hio 32.8% ya 2016 ..world bank report ..mnataka mjikute superior....yenu ya 2016 ilikuwa 56% mmefika 75% ni 2019 ..niletee ya tz 2019 sio ku compare na zaman
 


Kwa hiyo wewe ni inferior kwa Mmalaysia /Muzungu? Kwa nini ushindwe kujilinganisha na Mmalaysia/Muzungu?
 
Kwa hiyo wewe ni inferior kwa Mmalaysia /Muzungu? Kwa nini ushindwe kujilinganisha na Mmalaysia/Muzungu?

Kwa sababu Mzungu aliikoloni Afrika, yeye kwake alianza shughuli za viwanda karne kadhaa zimepita, sisi tumeanza miaka michache sana. Hivyo yeye anayo kitu kinachoitwa head-start ya mbali, ila tunaenda kwa kiwango chetu na kujivunia kila hatua tunayopiga.
Ndio maana unakuta Tanzania mnasheherekea nchi yote kwa Taifa stars kufuzu kuhusika kwenye michuano ya kombe la Afrika, sasa angekuja chizi kama wewe ahoji na kusema ni aibu maana mlifaa kusheherekea ushindi wa kombe la dunia.

Celebrate your little victories, step by step....
Kimsingi ni kwamba, ukanda wote huu hakuna wa kuongea mbele yetu, tumewabamiza nyote kimiundo mbinu, kielimu, kijeshi n.k.
 


Hata Muzungu alitawala Malaysia pia kama vile Kenya/TZ/Zambia/Ug au Ghana, hivyo sioni hicho kisingizio unakitoa wapi,? Kwa nini Malaysia watu milioni 34, izalishe zaidi ya 30 000 MW na kuzitumia halafu Kenya, TZ chni ya MW 2000 ingawaje tuko zaidi ya milioni 45 kwa kila nchi?
 
Hivi mijubilee bado mnajifariji na FAKE NEWS???
Reporti ya WB kuhusu electricity connections mwisho kuchapishwa ni 2016
KENYA 56%
TANZANIA 32.8%
ukitaka uhalisia nenda



Wapi WB wamesema eti kenya sasa ina 75% au Tz bado wamekomalia 32.8%.
FAKE NEWS
 
Kenya's installed capacity is currently above 2400MW
 
what about Danganyika? a nation of almost 60million people, miserable though they have everything in resources.
Nyinyi ni wapumbavu tu..hakuna lingine..
 
Hata kama ni 5000 MW bado ni ndogo sana kwa matumizi ya watu zaidi ya miloni 45 kuweza hata kujivunia!
Ongea about connectivity in Danganyika ya watu 60m. 32% is shame..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…