Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

Hapa hoja ni Electricity access bwana sio GDP..
Ukitaka GDP kumbuka Imf imesema kenya currency ni 17.5% inflated😂😂 kubali hilo kwanza vile unakubali IMF kusema gdp ni $99b
Boss fuata thread ujue mambo ya GDP imeanza wapi kati yangu na yeye.
 
Mbona machungu?
 
Uchumi kubwa kuwaliko, high electricity access kuwaliko, high literacy levels kuwaliko....i can go on and on and on
Labda Uchumi wa kwenye makaratasi, kwenda kujifunza kingereza tu shuleni huku kichwani hamna kitu, tribalism, wivu, ukora nk
 
Tunazalisha zaidi ya 2,500 MW. matumizi ndio yako 1,800 MW. Nyie mnazalisha chini ya 1,800 MW matumizi yako chini ya 1,300 MW.
 
Ndio maana inaitwa gdp ya makaratasi, Tz tunaiita lake Nyasa not lake Malawi.
Mmewaibia Wamalawi lake yao kwa sababu wao ni wanyonge kushinda nyinyi.
 
Latest report inasema KE imefika 74 percent
 
Mmewaibia Wamalawi lake yao kwa sababu wao ni wanyonge kushinda nyinyi.
Ile ni nusu kwa nusu mkuu, ile ni mpaka, hatuwezi ruhusu wale puppets kusogelea mpaka wetu hadi kwenye shores, sisi sio somalia wanawaachia mnauza offshore oil fields alafu wanaenda mahakamani, tunakutandika kwanza alafu mahakamani badae.
 
Nyinyi ni wanyanyasaji tu, mbona inaitwa lake Malawi na sio lake Tanzania.
 
Nyinyi ni wanyanyasaji tu, mbona inaitwa lake Malawi na sio lake Tanzania.

Hili la ziwa kiaina huwa nawaelewa Watanzania maana huwa wamekaliwa kishenzi hadi kukojolewa mdomoni, yaani hebu chukulia ziwa Victoria uambiwe wakazi wa Kisumu kila wakigusa hayo maji wanakua wameingia kwenye nchi ya watu, eti mpaka uwe kwenye fukwe, muwe mnaomba ruhusa hata ya kwenda kuvua samaki.
Sijui ufala gani uliwaingia Watanzania wakakubali kupokezwa mpaka uliokaa kihivyo....hawa huwa mtihani sana, yaani wamezoea kuliwa kote kote.

Hebu ona hii ramani ilivyokaa ovyoo

Nyinyi ni wanyanyasaji tu, mbona inaitwa lake Malawi na sio lake Tanzania.
Inaitwa lake nyasa, former name of the area around before colonial boundaries, it was for all people bordering it, that is what Tz wants. Otherwise ni vita mura.
 
Ndio maana inaitwa gdp ya makaratasi, Tz tunaiita lake Nyasa not lake Malawi.
You can call it whatever you want to call it...GDP size is not a matter of public opinion, its a calculated number.
hata useme ni makaratasi ama unyamaze hayatakuwa.. enda ukale albino
 
Wacha upumbavu. Go download the PDF provided with 2019 figures.
The website is talking of 2017 figures.
 
Enyewe ni kweli wamekaliwa. Nilisikia ilibidi wapigane mangumi na Malawi ili heshima ipatikane.
 
Inaitwa lake nyasa, former name of the area around before colonial boundaries, it was for all people bordering it, that is what Tz wants. Otherwise ni vita mura.
Kwa hivyo ilibidi mpigane makonde na Malawi? Nani alishinda kwenye hio vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…