Kenya trend evrywhere

Kenya trend evrywhere

this is France 24 si ndio? i remember that Someone tell CNN hashtag in 2015 ...France 24 covered it very well...i remember that woman's face
 
meanwhile Kenya is also trending in USA when Donald Trump yesterday said he doesn't care whether you come from Kenya Sweden or Japan...he loves you all...
 
Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu

Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
Khaa, we acha tu. Yani wangesemwa na Senegal au Angola wala usingesika wanakimbilia kufungiwa uzi hapa.
 
Hawa jamaa ni aibu tupu Kenyans ni walugaluga mpaka kero wanawalamba wazungu Makalio mpaka wazungu wanashangaa eti trump Anasema anawapenda sana tayari wameshapagawa wamechanganyikiwa utazani kila mkenya ameshinda lottery ya dollar billion 9
 
Haha, umenikumbusha mbali walugaluga [emoji23] [emoji23]
 
Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu

Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
mkuu punguza povu aisee😀😀
images
 
Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu

Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?

mkenya mzungu hata awe kichaa basi kwake ni kama muheshimiwaa,wapo radhi wazungu wavunje sheria kwa kuwaokoa au wazulumu serikali ila kwao ni kawaida tuu,wakenya ujiisi wazungu bila kufahamu kua ni wa afrika walio uhuru bila kujinyanyasa kisaikolojia
 
Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu

Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
Sasa wewe ujinga huu na wivu zitakuua. Mzungu pia hufurahi sana akitembea Afrika na kuona T-shirt ya team yake Chicago Bulls imevaliwa na kijana kijijini Morogoro ama raia wa Ireland akitembea huko Ecuador na kusikia muziki wa band ya kwao.
 
Hawa ndio wakenya bwana. habari yao kurushwa ufaransa na na Trump kuwasema tayari imekuwa everywhere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu

Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
Watz tuache wivu, Kenya wapo mbali jamani sisi labda tujilinganishe na buRuñdi au Somalia au Sudan kusini!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Back
Top Bottom