Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa, we acha tu. Yani wangesemwa na Senegal au Angola wala usingesika wanakimbilia kufungiwa uzi hapa.Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu
Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
Hawa jamaa ni aibu tupu Kenyans ni walugaluga mpaka kero wanawalamba wazungu Makalio mpaka wazungu wanashangaa eti trump Anasema anawapenda sana tayari wameshapagawa wamechanganyikiwa utazani kila mkenya ameshinda lottery ya dollar billion 9Khaa, we acha tu. Yani wangesemwa na Senegal au Angola wala usingesika wanakimbilia kufungiwa uzi hapa.
Haha, umenikumbusha mbali walugaluga [emoji23] [emoji23]Hawa jamaa ni aibu tupu Kenyans ni walugaluga mpaka kero wanawalamba wazungu Makalio mpaka wazungu wanashangaa eti trump Anasema anawapenda sana tayari wameshapagawa wamechanganyikiwa utazani kila mkenya ameshinda lottery ya dollar billion 9
mkuu punguza povu aisee😀😀Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu
Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu
Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
Sasa wewe ujinga huu na wivu zitakuua. Mzungu pia hufurahi sana akitembea Afrika na kuona T-shirt ya team yake Chicago Bulls imevaliwa na kijana kijijini Morogoro ama raia wa Ireland akitembea huko Ecuador na kusikia muziki wa band ya kwao.Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu
Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?
Watz tuache wivu, Kenya wapo mbali jamani sisi labda tujilinganishe na buRuñdi au Somalia au Sudan kusini!Ushamba ni mzigo, mzungu akikuongelea tu hata kwa ukabila unaona ndio prestige and respected, kisa ni mzungu ptuuuuu
Hivi wakenya umbumbumbu mtaacha lini na ushamba uliopea?