Jamani hii nchi kuna kitu haiko sawa…
Shining Hope for Communities wameingia ground kusaidia over 100,000 learners Nairobi informal settlements.
Wanajenga ICT labs + toilets kwa shule kama Salama Primary School na Huruma Primary School.
Lakini sasa sikia hii
➡️ Mtoto mmoja alikuwa anashare choo na hadi 99 wengine
➡️ Schools zingine hazina hata STEM teachers
➡️ Computer lab? Story ya jaba kwa wengi
CEO Kennedy Odede anasema watoto wako capable, shida ni mazingira.
Sasa wananchi wanauliza kwa loud voice:
Hizi ni basic needs bana toilets na computers! Mbona NGO ndio wanakuja kuokoa situation? Serikali iko wapi?
Government wanasema wanawelcome partnership lakini kwa ground reality:
Je, hii ni collaboration ama ni NGOs kufanya kazi ya serikali pole pole?
Source Tv 47 digital