Kenya tunaeza jifunza nini kutoka kwa Aliko Dangote ambaye anajenga Biggest Oil Refinery in Africa?

Kenya tunaeza jifunza nini kutoka kwa Aliko Dangote ambaye anajenga Biggest Oil Refinery in Africa?

Unashauri afanye nini, aache anachokifanya hadi apataikane mkombozi wa kuikomboa Nigeria, kila mmoja wetu ana jukumu la kuifanya dunia kuwa bora, hata kama sehemu yako ni ndogo, wewe fanya tu......
Yeye binafsi amefanya yake lakini kunautengano mkubwa wa kikabila na kidini....so sioni juhudi zake zikizaa matunda hivi karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye binafsi amefanya yake lakini kunautengano mkubwa wa kikabila na kidini....so sioni juhudi zake zikizaa matunda hivi karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app

Hicho kidogo alichokifanya kimesaidia familia kadhaa kuweka chakula mezani, hij dunia ina matatizo mengi na hayawezi kusuluhushwa yote, tupige hatua kila mtu kwenye kiwango chake.
 
Back
Top Bottom