MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Huyo jamaa haezi okoa Nigeria kutoka kwa utumwa wa... corruption, terrorism na poverty.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashauri afanye nini, aache anachokifanya hadi apataikane mkombozi wa kuikomboa Nigeria, kila mmoja wetu ana jukumu la kuifanya dunia kuwa bora, hata kama sehemu yako ni ndogo, wewe fanya tu......