Unashauri afanye nini, aache anachokifanya hadi apataikane mkombozi wa kuikomboa Nigeria, kila mmoja wetu ana jukumu la kuifanya dunia kuwa bora, hata kama sehemu yako ni ndogo, wewe fanya tu......

Hicho kidogo alichokifanya kimesaidia familia kadhaa kuweka chakula mezani, hij dunia ina matatizo mengi na hayawezi kusuluhushwa yote, tupige hatua kila mtu kwenye kiwango chake.