KENYA TUnawakilishi tuu!!!

Mkuu mbona miss Tanzania yupo natural hata nywele hajaweka dawa na hajichubui.

Huenda hajafikIa alikofika dada huyu mkenya kwasababu kichwani huyo mbilikimo wenyu yu mweupe pee!.., kama mlivyo tu watanzania..BONGO..BONGO..BONGO
 
Wenyu-wenu
tanganyika-Tanganyika
kwa hiyo wazungu ndo miungu wako....punguzu ujinga
 
Wajua kuwa beauty peagent, lazima uwe beautiful, intelligent, innovative and fast in reaction, has intelligence ndo huangusha wengi!
 
Rudi darasani ukajifunze nini tofauti ya East Africa Region and East Africa Community...Wabongo huwa mnatia aibu kwa elimu yenu duni, na usikute wewe hapo unategemewa sana kielimu huko.

Mkuu!

Natumai kapata darsa, mbilikimo hilo!

😀 mbilikimo wahed!
 
Umeandika lugha isiyoeleweka
 
Uzalendo ndio wa Kenya, huyu demu ameonesha hivyo!!! kama wengine hawana flags, yeye lazima aibebe! We always love our country whenever we go in whatever we do!!
look at how she is proud of her flag!!!
 
Rudi darasani ukajifunze nini tofauti ya East Africa Region and East Africa Community...Wabongo huwa mnatia aibu kwa elimu yenu duni, na usikute wewe hapo unategemewa sana kielimu huko.

Ww acha ufala wako ...east Africa community and east Africa region it's not the same thing....mmeanza kuwashobokea Ethiopia baada yakuona wanawapita kwa kila kitu sasahivi...
Nan elimu duni ndio ww uliesoma hongera sana!!
Mnapenda sana kuwashobokea Ethiopia kisa wamewakalisha
 
Khaa hadi mambo ya wanawake mnaleta league? Sasa Ethiopia ipo east Africa tangu lini...
Ethiopia Somalia sudan Eritrea mpaka mozambique ni EA nyerere ndio aliwa chocha ni EAC pekee
 
Rudi darasani ukajifunze nini tofauti ya East Africa Region and East Africa Community...Wabongo huwa mnatia aibu kwa elimu yenu duni, na usikute wewe hapo unategemewa sana kielimu huko.

Unachomeaje ma nguchi picha hvi [emoji23][emoji23]
 
Wabongo full majungu hata kwa wanawake, nyie mlirogwa zamani na hamna dawa.
Ndio maana hata Mdee anawaita vidume suruali kwenye wimbo wake...
Vanessa mdee ameenda statehouse girls akaingia USIU i consider her Kenyan
 
Labda bibiyo akutafsirie!..bongolala wahed!
Tatizo lenu mnakula milaaa (milungi) ndio maana mnakuwa wapuuzi puuuzi
Uku kwetu Tanzania, milaaa (milungi) ni Madawa ya Kulevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…