Mnafikiri wazungu hawajui kilicho asili?....wengi wenyu humo tanganyika mnajichubua, meaning you are fake.
Kinachoangaliwa ni UASILIA WA MTU, UKUBWA WA AKILI...BONGO...BONGO..BONGO....
Hata nikimtazama dada huyu urefu na mpangilio wa mifupa (body frame)upo imara, wengi wenyu wabongo wafupi mithili ya MBILIKIMO WA KONGO, mikorogo,kujichubua,kichwani kweupe,wapi na wapi?
Kumbuka yule dada wa kinijeria aliyeshinda miss world zama zile...(AGBANI DAREGO)..tena alikua mweusi kama chokoleti vile, rangi tamu na adimu inayoashiria UAFRIKA.
Hongera zake dada wa kikenya, umeiwakilisha Afrika ulipofika hapo.