Viongozi wao washaona kiti cha moto alaf wao wanaona rahisi tuππHahahaha, ninasubiri kwa shauku kubwa hiyo siku ifike Kenya ijaribu kulipiza japo kidogo tu. Nitacheeka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba rejea swali nililokuulizaπππLet us see:
Tourism.Doing well.
Agriculture l.2018 was a good year unlike 2017.
Water.Projects worth billions ongoing practically everywhere.
Roads.Excellent as Dongo Kundu bypass phase 1 is complete.Roads in Western Kenya under construction .Cabro paving in Mombasa.
Rail.Still ongoing to Naivasha.Nairobi to Mombasa passenger service always fully booked.
IT. We are doing a trial run for 5G.Telkom acquisition by Helios.
Construction.
From Affordable housing ro the largest tower in Africa to high end apartments in Nairobi and Mombasa.
Manufacturing. Eldoret Industrial Park just broke ground.It is a $4 billion venture
Air.KQ may take over JKIA.Expansion of local airports like Nyeri.
Education.Is going on fine.Kenya is ranked number 4 in human capital productivity after Algeria, Seychelles and Mauritius.So the Universities are doing well.
So what exactly are you talking about.
Ukiweka ushabiki pembeni utapata jibu moja tu, Mombasa port inanuka rushwa. Kimahesabu ata kama bandari ya Dar ingekua na charges mara 2 ya Msa port hiyo biashara ya kuzunguka na mzigo kutoka Msa uulete kwa bus mpaka Dar na yule ambae anashusha Dar moja kwa moja wa Mombasa asingeweza kishindana. Kuna wakikuyu wanaingiza mzigo mwingi Msa port bila kulipa kodi na kuuza kwa bei za jumla.y
Yale malori meng ni wazawa wanaojaribu kuingiza bidhaa toka kenya. Hivi unahabari kuna bandari kuna kila kitu lakin kuna mtu anaenda kununua nguo kenya na kuja kuziuza kariakoo kwa jumla? Kama unabisha panda dar express nenda nairobi walifungua buti chungulia
Hii kauli yako imeniumiza roho.. So you wont miss me [emoji22]Tanzania is just an insignificant country.If eliminated from the face of the earth, nothing will change
Poa basi inawezekana ikawa na rushwa chungu mzima.unaweza kuwa sahihi vipi kuhusu wale wanaoenda uganda?Ukiweka ushabiki pembeni utapata jibu moja tu, Mombasa port inanuka rushwa. Kimahesabu ata kama bandari ya Dar ingekua na charges mara 2 ya Msa port hiyo biashara ya kuzunguka na mzigo kutoka Msa uulete kwa bus mpaka Dar na yule ambae anashusha Dar moja kwa moja wa Mombasa asingeweza kishindana. Kuna wakikuyu wanaingiza mzigo mwingi Msa port bila kulipa kodi na kuuza kwa bei za jumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
all that yet you trail behind us,what does that make u kama uko nyuma ya mjina na mpuuzi?Hakuna watu wapuuzi na wajinga duniani kama wakenya. Hivi kweli mnaanzisha mada kulazimisha soko TZ!?
Hii ishu ilianza kipindi cha Kikwete ambapo Tz ilianza kukua kiuchumi kwa kasi..Visasi vya kitoto kama hivi ni kawaida sana kwenye nchi zinazo ongozwa na madikteta. Yes, I said it.
Usidhani unaijua biashara au diplomacy kuliko Uhuru, ishu ni mlikua at our own expense na mlifurahia kutuita SLEEPING GIANT.. sasa viwanda vinaanzishwa na ujasiriamali unashika kasi hivyo kufanya substitution ya imports kutoka kwenu...Haitakua nia ya kuikomoa, ila kujibu mashambulizi, haiwezekani hili liserikali letu limenyamaza wakati kutwa Watanzania wanaiwaza Kenya kwa kila kitu chuki full machungu, ilhali na wao wana shughuli zao nyingi tu huku, kuna wakati wa kukubali hasara kwenye maisha na haitakua mara ya kwanza, tuliwahi kufungiana na kila mtu akabaki kwake, hatukufa.
Hata ndoa ukiona mwenzako kila siku vurugu, unapiga hatua na kusema msemo wa kilugha chetu 'thie ukiumaga'.
kama kuna kitu rais Uhuru ananiboa hadi mishipa inanitoka, ni hili la kuwalea Watanzania, amalize hatamu yake aje mzalendo wa kweli na mjanja kwenye michezo ya aina hii, nahisi naibu wa rais William Ruto huu mchezo sio mgeni kwake.
Hamna la kutufanya, tunaweza kufanya lolote na wakati wowote, zaidi ya kulalamika na kulialia, hamuwezi kutufanya lolote lile, Tanzania rules EAC.Visasi vya kitoto kama hivi ni kawaida sana kwenye nchi zinazo ongozwa na madikteta. Yes, I said it.
Hahaha! π Very funny, joke of the century. Siku moja utaifahamu dunia vizuri, ukisha acha kula wali wa mama.Hamna la kutufanya, tunaweza kufanya lolote na wakati wowote, zaidi ya kulalamika na kulialia, hamuwezi kutufanya lolote lile, Tanzania rules EAC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Offcourse, uchumi wa Tz umeshaupiku wa Kenya, tena kwa mbali sana.Hii ishu ilianza kipindi cha Kikwete ambapo Tz ilianza kukua kiuchumi kwa kasi..
Kwanza mnabidi mumshukuru Magufuli maana uchumi wetu unakua by decreasing rates
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa Tanzania upo chini ya Kenya katika figures.. Hilo hakuna mtu wa kubisha na hata HDI yenu iko high pia kuliko yetu..Hiyo ni kawaidaOffcourse, uchumi wa Tz umeshaupiku wa Kenya, tena kwa mbali sana.
We have the weakest administration ever, by now Kenya is supposed to have reciprocated and returned in kind every hate from Tanzania, inafaa tuwe na kiwango cha uvumilivu sio kuruhusu kila upuzi.
Sector ya ufisadi na ukabila ziko vizuri mungiki landHvi wewe unaeza niambia ni sector gani kenya inafanya vzr nitajie moja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sector ya uchukuzi loss
Sector ya maji loss
Sector ya elimu majanga
Sector ya fedha mikopo imezidi kudidimiza nchi kwenda chini and now 62% debt to gdb ratio
Utaniambia ni sector gani kenya inafanya vzr????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgagaa na Upwa bado unaendelea kuganga wapwa zako?
#Ushirikina 92% .#dark nation