Kenya -TZ Trade Wars

Kenya -TZ Trade Wars

Let us see:
Tourism.Doing well.
Agriculture l.2018 was a good year unlike 2017.
Water.Projects worth billions ongoing practically everywhere.
Roads.Excellent as Dongo Kundu bypass phase 1 is complete.Roads in Western Kenya under construction .Cabro paving in Mombasa.
Rail.Still ongoing to Naivasha.Nairobi to Mombasa passenger service always fully booked.

IT. We are doing a trial run for 5G.Telkom acquisition by Helios.
Construction.
From Affordable housing ro the largest tower in Africa to high end apartments in Nairobi and Mombasa.
Manufacturing. Eldoret Industrial Park just broke ground.It is a $4 billion venture
Air.KQ may take over JKIA.Expansion of local airports like Nyeri.
Education.Is going on fine.Kenya is ranked number 4 in human capital productivity after Algeria, Seychelles and Mauritius.So the Universities are doing well.
So what exactly are you talking about.
Naomba rejea swali nililokuuliza😝😝😝
 
Visasi vya kitoto kama hivi ni kawaida sana kwenye nchi zinazo ongozwa na madikteta. Yes, I said it.
 
y

Yale malori meng ni wazawa wanaojaribu kuingiza bidhaa toka kenya. Hivi unahabari kuna bandari kuna kila kitu lakin kuna mtu anaenda kununua nguo kenya na kuja kuziuza kariakoo kwa jumla? Kama unabisha panda dar express nenda nairobi walifungua buti chungulia
Ukiweka ushabiki pembeni utapata jibu moja tu, Mombasa port inanuka rushwa. Kimahesabu ata kama bandari ya Dar ingekua na charges mara 2 ya Msa port hiyo biashara ya kuzunguka na mzigo kutoka Msa uulete kwa bus mpaka Dar na yule ambae anashusha Dar moja kwa moja wa Mombasa asingeweza kishindana. Kuna wakikuyu wanaingiza mzigo mwingi Msa port bila kulipa kodi na kuuza kwa bei za jumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka ushabiki pembeni utapata jibu moja tu, Mombasa port inanuka rushwa. Kimahesabu ata kama bandari ya Dar ingekua na charges mara 2 ya Msa port hiyo biashara ya kuzunguka na mzigo kutoka Msa uulete kwa bus mpaka Dar na yule ambae anashusha Dar moja kwa moja wa Mombasa asingeweza kishindana. Kuna wakikuyu wanaingiza mzigo mwingi Msa port bila kulipa kodi na kuuza kwa bei za jumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa basi inawezekana ikawa na rushwa chungu mzima.unaweza kuwa sahihi vipi kuhusu wale wanaoenda uganda?
 
Visasi vya kitoto kama hivi ni kawaida sana kwenye nchi zinazo ongozwa na madikteta. Yes, I said it.
Hii ishu ilianza kipindi cha Kikwete ambapo Tz ilianza kukua kiuchumi kwa kasi..
Kwanza mnabidi mumshukuru Magufuli maana uchumi wetu unakua by decreasing rates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haitakua nia ya kuikomoa, ila kujibu mashambulizi, haiwezekani hili liserikali letu limenyamaza wakati kutwa Watanzania wanaiwaza Kenya kwa kila kitu chuki full machungu, ilhali na wao wana shughuli zao nyingi tu huku, kuna wakati wa kukubali hasara kwenye maisha na haitakua mara ya kwanza, tuliwahi kufungiana na kila mtu akabaki kwake, hatukufa.

Hata ndoa ukiona mwenzako kila siku vurugu, unapiga hatua na kusema msemo wa kilugha chetu 'thie ukiumaga'.
kama kuna kitu rais Uhuru ananiboa hadi mishipa inanitoka, ni hili la kuwalea Watanzania, amalize hatamu yake aje mzalendo wa kweli na mjanja kwenye michezo ya aina hii, nahisi naibu wa rais William Ruto huu mchezo sio mgeni kwake.
Usidhani unaijua biashara au diplomacy kuliko Uhuru, ishu ni mlikua at our own expense na mlifurahia kutuita SLEEPING GIANT.. sasa viwanda vinaanzishwa na ujasiriamali unashika kasi hivyo kufanya substitution ya imports kutoka kwenu...
Its just natural mzee

Kwanza nyie hamuishi kulalama maana you always want to feel superior while you are not.. Wakati Ethiopia mmeizidi kiuchumi mlikuwa mna kiburi sana ila baada ya Ethiopia kuchukua kiti cha Economical power wa Eastern Africa mkaanza mara wana large population kutuzidi..

Tulivyowakalisha kwenye tourism mkaanza mara mna vivutio vingi ili mradi tu muonekane the best...guys Kenyans mna insecurities sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Offcourse, uchumi wa Tz umeshaupiku wa Kenya, tena kwa mbali sana.
Uchumi wa Tanzania upo chini ya Kenya katika figures.. Hilo hakuna mtu wa kubisha na hata HDI yenu iko high pia kuliko yetu..Hiyo ni kawaida

The fact is kwa nini wakenya mchukie every step tunayopiga ilhali ninyi ni Economical hub ya East Africa.. Issue ni moja tu ukimuona kaka anachukia kila step ya mdogo wake bhasi ni kuwa huyo mdogo wake ni THREAT...

Huwa sipendi huu ushabiki maana kwa kiasi una utoto lakini ukweli ni kuwa Wakenya mnatuongelea vibaya kuanzia forum zenu local na hadi zile foreign ..tuliopo huko tunajua.. You guys really look down on us nd when we make every tinny steps ,it really hurts your Ego

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks Kenya for buying Korosho from Tz, we appreciate
IMG_20190130_202003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We have the weakest administration ever, by now Kenya is supposed to have reciprocated and returned in kind every hate from Tanzania, inafaa tuwe na kiwango cha uvumilivu sio kuruhusu kila upuzi.

Deep inside you are weak, nyie wakenya mnajua nini zaidi ya Kingereza pekee??
Hamna lolote mnaweza fanya against the Mighty Tz
 
Hvi wewe unaeza niambia ni sector gani kenya inafanya vzr nitajie moja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sector ya uchukuzi loss

Sector ya maji loss

Sector ya elimu majanga

Sector ya fedha mikopo imezidi kudidimiza nchi kwenda chini and now 62% debt to gdb ratio

Utaniambia ni sector gani kenya inafanya vzr????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sector ya ufisadi na ukabila ziko vizuri mungiki land
 
Kuna viwanda arusha 15 vimekufa,general tyres,Tanzania pharmaceuticals industries, Arusha food corporation etc hivi tu vikifululiwa tutaheshimiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom